Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, akizungumza jana Oktoba 28, 2026, wakati wa Sala ya Rozari Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu George, Kanisa Kuu la Kayanga mkoani Kagera, amesema;
"Je, kuhalika kwa sala na maombi ni kuvuruga amani ya nchi? Nauliza...