wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada jamaa kayatimba

    Facebook account yake imehackiwa, analog in kama kawaida, ila mesenja kuna huyo mpuuzi anawatumia watu sms vibaya mnooo yaani kila siku sms sizisopungua 20 kuhusiana na masuala ya betting, tukiangalia kwenye setting "where you log in" inaonesha jamaa yupo vietnam,. Jamaa yangu anatumia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Misingi 5 ya ukulima wa Matikiti Maji

    Kama umekua ukihangaika kuanzisha kilimo cha tikiti maji lakini hufahamu pakuanzia, basi makala hii ni mahususi sana kwako. Nasema hivo, kwa kua nimekua nikilima matikiti kwa muda mrefu tangu 2020 na hapa nitatiririka na misingi 5 ambayo itakuasaidia wewe kuanzisha mradi wa kilimo cha tikiti...
  3. JamiiForums Tanzania Habari ya asubuhi wakuu. Wale ambao ni watumiaji M-WEKEZA tusaidieni mawili matatu kuhusu akiba baada ya kuitumia

    Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
  4. JamiiForums Tanzania Mtu hajakuomba ushauri, wewe unamshauri, halafu hujui namna ya kushauri, nyambafu!

    Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri. Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli! Ukumanyoko wala si dili! 😎
  5. JamiiForums Tanzania Weekend : karibuni wakuu tuharibu akili kwa vinywaji changamshi

    😆
  6. JamiiForums Tanzania Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu haya Madini Yana thamani yoyote hapa Tz?

    Nimeyaona sehemu yapo Kwa wingi. Nahitaji mtu aliye serious na uhakika tutete naye. Ni hayo mekundu hako kengine kana mng'ao sana zaidi ya shaba na ulanga. Mimi nimebobea kwenye dhahabu na shaba na hata ulanga ila hii sio ulanga Wala shaba. Nimejaribu ku search mtandaoni nakutana na Red...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi bei za kusuka motor zikoje

    Nahitaji kununua motor used 11kw au 15HP au kusuka speed angalau iwe 2900 rpm
  9. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Inachekesha kuona wanaotuhumiwa kwa mauaji ya Oct 29 ndio hao pia mashabiki wakuu wa hizo tume mara ya Chande mara ya Lila

    Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe. Hivi kweli akili ya kawaida haikutumi kwamba ni kama mbwa kujifucha kwenye shamba la karanga!?
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aapisha Wakuu wa Mikoa wapya Ikulu Ndogo Zanzibar

    Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,akizungumza na Viongozi baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa ya Mbeya,Geita,Pwani,Mwanza pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani katika Ikulu Ndogo ya Tunguu,Zanzibar Leo Tarehe 02 Septemba,2026
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa hatujawapeleka huko kuwa wafalme bali kuwa watumishi wa wananchi - Rais Samia

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliopishwa hususan Wakuu wa Mikoa kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kuchukulia dhamana waliyopewa kama wajibu wa kusimamia shughuli zote za Serikali katika maeneo yao. Rais Samia amesema hayo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inatoa fedha za OC, kwanini Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inabagua katika ulipaji kwa baadhi ya Watumishi

    Fedha za OC (Other Charges) zinalenga kuwezesha uendeshaji wa shughuli za ofisi, ikiwemo kugharamia stahiki mbalimbali za watumishi zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yao. Cha kusikitisha, watumishi wa kawaida wanapofanya kazi za ziada (Extra Duty) na kuwasilisha madokezo ya malipo, mara...
  14. JamiiForums Tanzania Kama ishu ni vurungu za Oktoba 29, tume ya Jaji Chande ilisha msafisha Lissu. Wahusika wakuu ni CCM waliokatwa na waliopinga Samia kugombea.

    Kwamba kauli ya no reform no election ndio ilisababisha vurugu sio kweli. Au kauli ya Lissu kuwa tutakinukisha? Wananchi waliingia barabarani wakipinga ufisadi, utekaji na kukataa uovu waa CCM mtandao. Hakuna mahala walitamka kuwa Lissu ndio amaewachochea kwa kauli zake.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna Vitu vinatisha wakuu.....

    Hii nimeona sasa hivi. Nimeona bora niseme mapema ila kuna watu wana roho ngumu aiseee Unakuta bado kuna watu wanakula hii Mara kumi ule kukiwa na giza hata usijue unachokula aisee ila live live unaweza ukatapika kabisa haya mavitu yanatisha sana. Bora ubaki kumuona kwa nje tu ila akiwa hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu nasikia G Malissa katekwa heti,si alikuwa nje ya Nchi,imekuaje Tena?

    Ndugu yangu na rafiki yangu, Comrade Malisa GJ [@malisa_g], ametekwa na Jeshi la Polisi Tanzania karibu na Namanga, Arusha, Tanzania, jioni hii. Hili ni tukio linalotia wasiwasi mkubwa!! Mwachieni Malisa GJ sasa hivi!!
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005

    Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

    Mbona muda unazidi kwenda? Watu wa system tuambizane jamani tujiandae na chochote kitu mana mkono mtupu haulambwi
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu nipeni dili za pesa hata kama ni Haramu mi nifanya life ni gumu kitaani Aisee

    Sitaki kueleza sana ila wakuu life limeninyoosha hasa naombeni dili yoyote mi nitapiga life ni tite kinoma aisee kila unacho fanya hakiendi mpaka kula kwenyewe shida tafadhalini leteni Dili yoyote mi nitapiga walau na mimi niwe na uhakika wa kula
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

    Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon Nimesoma mikataba ya barabara Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo. Nimesoma mkataba wa ngorongoro Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…