wanaoishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

    Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU; 1. Afrika Kusini: 7,700,000 2. Msumbiji: 2,400,000 3. Nigeria: 1,700,000 4. Uganda: 1,500,000 5. Kenya: 1,400,000 6. Zambia: 1,300,000 7. Zimbabwe: 1,300,000 8. Malawi: 980,000 9. Ethiopia: 610,000 10. DRC: 520,000
  2. Wanaoishi Vingunguti hapati kero ya harufu mbaya?

    Huwa najiuliza Kila nikipita haya maeneo kuna harufu kali sana ambayo kama humu wezangu mshapita hayo maeneo mmeshuhudia huwa nafunga mpaka vioo vya gari lakini ngoma inapita mpaka ndani ya gari. Hivi hawa wanaoishi ni binadamu wa kawaida kweli maana nashindwaga kuelewa hawa jamaa ni wa aina...
  3. Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

    Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk. 1.Manzese 2.Magomeni 3.Mburahati 4.Kigogo...
  4. Hivi kuna watanzania wanaoishi na kufanya biashara India?

    Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?African victims of racism in India share their stories
  5. Kwanini vijana wengi wenye umri (22-30) wanaoishi mkoani Mwanza ni washamba

    Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini kabisa hasa unapompa Dili ngumu, Wana tamaa sana hasa Na vijipesa vidogo vidogo, Na wakivipata...
  6. K

    Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa kuwapeleka watoto wao kupata elimu

    Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya Darasa la Saba pale KOM Shule ya Msingi Manispaa ya Shinyanga. Binafsi sikuamini macho yangu kutokana na ubora wa hiyo shule kuanzia taaluma, majengo, walimu, madarasa, mabweni, majiko na mandhari kwa ujumla. Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa...
  7. Pongezi kwa wote wanaoishi maisha ya ndoto zao

    Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind). Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total...
  8. DR Congo: Serikali yasema waliojaribu kupindua Serikali ni Wakongo na raia wa Marekani

    DR-CONGO: Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozimwa mwishoni mwa Wiki iliyopita liliongozwa na Christian Malanga, Mwanasiasa mwenye uraia wa Congo lakini makazi yake yapo Nchini Marekani akiwa na kundi la Wanajeshi walioasi. Msemaji wa Jeshi la DRC amesema takriban Watu 50 akiwemo Mtoto...
  9. G

    Kwanini matajiri wanaoishi maisha simple (kuvaa, kuzungumza, kimuonekano, n.k) wanaheshimika zaidi kwenye jamii ?

    Ni watu flani hasa wamiliki wa makampuni ya utalii, vituo vya mafuta, mabasi ya mikoani, n.k. wapo simple sana kimavazi, kimazungumzo na hata kimuonekano.
  10. G

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki. Hii ni tofauti na kundi la east cost team, members wake wengi wanadunda mpaka sasa GK - Lecturer katika...
  11. G

    Wafanyabiashara ni wengi kuliko waajiriwa lakini watanzania wanaoishi angalau maisha standard waajiriwa ni wengi, Tuendelee kuponda ajira?

    Ni ukweli usiopingika kwamba wafanyabiashara wana pesa nyingi, hata ukiangalia top 20 ya matajiri hapa Tz utawakuta wafanyabiashara wamejaa wao hasa wahindi , wasarabu na wasomali, hata baada ya hapo kuna watanzania wenye asili zetu wanaofanya biasbara. Lakini katika kigezo cha idadi ya...
  12. Wakenya wanaoishi nje ya nchi hutuma trilioni 10 nchini kwao, Watanzania hutuma bilioni 700, tukifata ushauri wa Lowassa kuhusu elimu, tutafikia Kenya

    Katika nchi ambayo ina wasomi wengi sana nje ya nchi, ni Kenya. Kenya wamewekeza katika elimu ambayo inajibu mahitaji ya soko la dunia, wasomi wao wanakubalika sana duniani. Katika kuenzi maisha na falsafa za Lowassa, ni vyema tiwekeze katika elimu ya watamzania, na tufungue milango kwa...
  13. Ukweli mchungu: Watanzania wengi wanaoishi / kusoma ulaya na Marekani hawapeani kampani, Wakenya ndio kimbilio la watanzania wengi ughaibuni

    Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana, kujuliana hali na kutengeneza long term relationships, kuwa pamoja labda itokee mtz kafariki ndio watachanga...
  14. Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi watoa msaada wa vitabu 100 kwa Wanafunzi Kyela

    Zaidi ya Vitabu 100 vya masomo mbalimbali vimetolewa na Umoja wa Wazawa wa Kyela Mkoani Mbeya waishio ndani na Nje na Nchi, Kyela Ibasa Festival kwa ajili ya kuwawezesha Wanafunzi kuanzia Kidato cha kwanza hadi cha nne kusoma kwa utulivu na kumaliza mada zote kwa wakati ili kujiandaa na...
  15. Zaidi ya Wapalestina 200 wanaoishi Gaza wampokea Yesu kimuujiza

    Wagaza hawa wanadai walitokewa na Yesu ndotoni, na kupewa maelekezo. Kuna vuguvugu kubwa la kikristo linaloendelea chini kwa chini katika kila ardhi ya mwarabu muislam. Pale pagumu kabisa Yesu mwenyewe anaingia front. Hii kitu imetokea gaza. Hii si mara ya Kwanza. Mungu alimtokea Abram kwa...
  16. I

    Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka wahamiaji wanaoishi nchini humo kuheshimu utamaduni wa Ujerumani na kuitambua taifa la Israel

    Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka hatua za haraka zichukuliwe ili kudhibiti wahamiaji wanaoishi nchini humo wanaotaka utamaduni wao na imani zao za kidini ndizo ziwe juu ya zile za mwenyeji wao yaani Ujerumani. Pia wanataka wahamiaji hao watambue haki ya kuwepo kwa taifa la Israel...
  17. Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF Kyela

    Zaidi ya Wananchi 100 Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF na Umoja wa Wanakyela waishio ndani na nje ya Nchi katika Kyela Ibasa Festival itakayofanyika Desemba 27, 2023 Wilayani humo. Huo utakuwa ni msimu wa tano...
  18. Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

    Mtaalamu mmoja alisema kuwa afya ya binadamu ilianza kuzorota pale alipoanza kulima. Huu ni ukweli kabisa. Babu zetu walipokuwa wanaishi kwa kuwinda na kukusanya walikula kila aina ya chakula. Walikula matunda, majani ya miti, nyama, asali, mayai ya ndege, wadudu, mizizi, samaki nk nk. Watu hawa...
  19. DC Mpanda awataka Wananchi wanaoishi maeneo ya Hifadhi ya Misitu kuondoka

    Baadhi ya Wakazi Kijiji cha Kimani, Kata ya Ugala Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wametoa malalamiko yao ambayo yanawataka kuhama katika eneo wanaloishi. Grace Julius na Simon Daluso wametoa malalamiko katika mkutano wa hadhara mbele ya Mkuu wa Wilaya ambapo wamesema wamekuwa wakiambiwa...
  20. Watu wote wanaoishi maeneo ya mbali pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam kimsingi ni kama wako mikoani tu

    Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo. Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…