wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

    Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile chuma mboga. Kushindwa, kuwa mwepesi na hii kupelekea, wife kuendesha yeye kila muda. Kimsingi wyf...
  2. Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  3. Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

    Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo...
  4. Wanawake wengi ni wavumilivu kwenye maisha kuliko wanaume

    Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki. Tumeumbwa kuvumilia Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta...
  5. Mbona wanawake ndio wanaongoza kwa kushauri wanaume kuoa?

    Naendelea kukusanya data kila siku. Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia umri wa kuoa kwamba oa oa ♫︎♫︎♫︎♫︎ kama wimbo sasa sijui kwa nn wao ndio washauri wakuu siku hizi...
  6. "Karibu Karibu Ndugu Jela ni ya Wanaume," Field Marshal John Okello Anamkaribisha Abdilatif Abdulla Kamiti Prison

    Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine. Nimekaa nyumbani kwake Humburg. Kote tunapokuwa pamoja mazungumzo yetu ni vitabu na uandishi. Siku zote sijasahau kumkumbusha kuhusu kuandika kitabu cha...
  7. Kwanini wanaume watu wazima hupenda vibinti vidogo?

    Kumekuwa na kasumba ya wanaume wa umri mkubwa kuruka na mabinti wadogo umri wa binti zao kingono. Jamii kwasasa imeikubali hii tabia na kuifanya kuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida wakati si sawa. Ukichunguza utaona hawa wanaume wanatarget watoto ambao hawakustahili kabisa kuingia kwenye...
  8. Wanaume wenye wivu kupitiliza twaundiwa kifaa! Heko SIDO!

    Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan! Huduma inabak ya mmoja tu!. Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho. Unapata watoto wa nyonga yako tu. Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz. Unatunza kwa roho nyeupe, mana ni chako tu. CHANGAMOTO: 1. wenye master key 2. Muundaji kuacha...
  9. Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

    SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
  10. Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  11. S

    Enyi wanaume wapendwa

    Nawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe. Nimemaliza. Ukweli unaoumiza.
  12. Hawa ndiyo wanaume halisi nje ya hapa ni mvulana

    Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa. Lakini hawajuani majina halisi. Utasikia wakiitana, Bro, Mzee...
  13. Ukweli kuhusu tabia za wanaume washindao katika mitandao ya kijamii

    Men will like everything you post until he becomes your man, now he can't see🥲🤡😂
  14. Wanawake Njooni Tuongee:- Nini kimezikumbuka ndoa zenu, mbona mnaua wanaume zenu hivi?

    Twende "direct" kwenye mada. Chekini haya mateso ya ndoa. Maana nikiwaambia msioa mnashupaza shingo. Hebu chekini hizi comments. Acheni kuoa MTAKUFA. #YNWA YANGA_BINGWA
  15. Kwanini wanawake wa Kitanzania huwa hawajiamini wanapokua kwenye mahusiano na sisi wanaume Mabrothermen?

    Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc...
  16. Wanaume tu: Hivi wanaume lita 1000 za mafuta zinakuwa zinatumika kwenye kitu gani wakati wa tendo la ndoa?

    To be honest Mpaka sahivi nawaza zile chupa 1000 nusu lita ya mafuta yaani lita 5000 za p.diddy Yani imenifanya kichwa kigande Mpaka nikitembea barabarani nikikutana na mwanaume mweusi naona sura ya Pdiddy Me simcheki P.diddy kabisa, wanaume wengi kwenye ndoa wanageuzana toka zamani mpaka...
  17. Viungo vitatu vinavyoharibu maisha ya wanaume wengi

    Karibu... 1. MDOMO Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine. Usijiongelee mambo mabaya hata kama mnataniana na washkaji, jifunze kuwatamkia watu mema na kuwaambia...
  18. Kasi ya wanaume kununua dada poa imeongezeka miaka ya hivi karibuni

    Habarini, Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa wanatoka watu wazima na vijana ambao kwa muonekano wa nje hawafananii kabisa, ukiwaangalia utasema ni...
  19. Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi siku hizi hutafuta mabinti weñye kazi au kujishughulisha na mambo ya kiuchumi. Mabinti wasio na kazi wamejikuta katika hali ngumu sana. Tena binti awe hana kazi alafu awe maskini au atoke familia maskini hakuna rangi àmbayo ataacha kuiona. Hata...
  20. Sheria 6 za dhahabu kwa nyie wanaume

    1. Unapokutana na msichana, usifikirie ngono kwanza; usiombe ngono. Hata kama una una mihemko kiasi gani, jifanye kuwa wewe ni mtawa kwa muda. acha kuonja kila msichana anayekuja kwa sababu kila ngono lazima ina nasaba ya hatma yako ya baadae. 2. Usiende kutafuta bikira, ikiwa wewe mwenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…