Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January.
Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb.
Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake...