wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa ule mgomo wa Madereva umeondoka na watu wengi

    Madereva waligoma wakidai baadhi ya haki ikiwemo zuio la jaribio la ukataji wa pointi kwenye leseni, mgomo huo ulidumu kwa siku 2 na ya 3 mabasi yalianza kurejea taratibu. Baada ya mgomo huo, siku kadhaa kupita baadhi ya viongozi wa madereva walifanya mkutano na waandiahi wa habari wakidai...
  2. JamiiForums Tanzania Kaa mbali na Vitu hivi Kwa ustawi wa maisha yako

    Salaam jamiiforum. Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo. 👉Pombe. Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote. 👉 Mapenzi. Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekana labda kutoelewa lilie somo la mabikra 72 na mito ya pombe ndio inapelekea vijana wengi kujiunga na vikundi vya upiganaji bila hofu ya kifo

    Tusome maandiko kwa mantiki.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  6. JamiiForums Tanzania Tehran imejawa na Mashushu wengi wa Israel kiasi kwamba hakuna Siri wala kuaminiana kwa Iran

    Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu? Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini maskini ni wengi kuliko matajiri?

    Ukiangalia pengo kati ya maskini na matajiri ni kubwa vibaya sana na linazidi kuongezeka duniani kote.
  8. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majeruhi wengi wa Oktoba 29, 2025 waliopelekwa hospitali za Wakatoliki wapo hai, tusirudie makosa

    Hili liwe fundisho, Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao, Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
  9. JamiiForums Tanzania Ndio maana mchepuko akishajua una visenti anakulazimisha mzae pamoja na ndio maana siku ya msiba wa baba yako watoto wengi hujaa siku ya mirathi

    Hamna pesa ila mnazaana kama panya buku
  10. JamiiForums Tanzania Kuishi huku unajifunza maisha ndio dhana inayotutafuna wengi wetu!

    Hii mada ni pana sana maana inagusa maisha yetu ya kila siku ambayo yanavitu vingi sana ndani yake!.. tunaishi maisha katika dhana ya uchumi, mapenzi, Dini, siasa/uongozi, jamii n.k Shida ipo hapa "unaishi huku unajifunza na wakati unajifunza vitu vinatokea dhahiri wala sio maigizo!" Kama...
  11. JamiiForums Tanzania Hao watoto wanaotrend ukicheki wengi wa wazazi wao ni wale masikini choka mbaya, wanaopenda ngono na kuzaliana kama mapanya.

    Nchi masikini, hauna rasilimali lakini mnamwaga mwaga kila kona Hao watoto wengi wao ni fatherless, wanalelewa na mama pekee , au wana lelewa na ndugu au bibi maana mama anatamba kujitafuta kwenye mabaa ya sinza na tabata, baba yeye aliikataa mimba amekimbilia mkoani huko na tena huko amempa...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi zimwi la mapenzi kinyume na maumbile linavyo act kila hatua ya maisha yako

    SIHITAJI SADAKA YAKO, MIMI SIO NABII, SIKUFUNDISHI UAMINI NINI, ILA NATAKA UJUE UKWELI Utazaliwa na kuitambua njia moja ya kutaka kupata tendo, ambayo ni kwenye uke. Itafika hatua ambapo unakuwa mtazamaji wa pornograph, ambapo utaona "pleasure mpya" katika sehemu ya aja kubwa ya mwanamke, ile...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Salim: Waandishi wengi wanajipendekeza ili kupata teuzi.

    Hii lina ukweli ndani yake👇
  14. JamiiForums Tanzania Nini inasababisha wanawake wengi ( slay queen) kutoa harufu mbaya ya mdomo?

    Aisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9...
  15. JamiiForums Tanzania Movie iliyotazamwa na watu wengi zaidi ni Titanic?

    MOVIE ILIYOTAZAMWA NA WATU WENGI ZAIDI KATIKA HISTORIA: NI AVATAR AU TITANIC? Watu wengi wanadhani Avatar ya James Cameron ndiyo movie namba moja kwa sababu imeingiza karibu Dola Bilioni 3. Lakini, ukiangalia "Idadi ya Watu" (Reach), jibu ni tofauti kabisa. Hizi hapa ndizo Movie 3 zenye rekodi...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza chochea UPATIKANAJI WA UTI

    MOD UKITAKA KUBADILI CHOCHOTE SEMA NAMI BWANA NASIKIA ACHA UJUAJI. MADA Wakati wa tendo la ndoa, msuguano ukizidi unaweza kusogeza bakteria kutoka kwenye ngozi au eneo la haja kubwa ya ke kuelekea kwenye tundu la mkojo la me na ke simulitaneously, na bakteria hao wanapoingia kwenye njia ya...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Gemini AI Inaweza Kukusaidia Kupata Kipato? Hizi Ni Fursa Ambazo Wengi Hawajaziona.

    Wakati baadhi ya watu wanatumia AI kuuliza maswali ya kawaida, wengine wanajifunza kuitumia kutengeneza huduma ambazo watu na biashara ziko tayari kuzilipia. Tofauti haipo kwenye teknolojia pekee, bali namna unavyoitumia. Gemini AI inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza ufanisi na kuanzisha...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

    Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
  19. JamiiForums Tanzania Ulokole una faida nyingi sana, ila walokole wengi wanazikosa kwasababu ya mafundisho duni makanisani.

    Ukiondoa wale wanaokula madhabahuni, yaani pastors, bishops, mitume na wengine wenye access na sadaka wengine wengi wanateseka sana katika maisha ya kiuchumi. Wakristo wote tuliomwamini Yesu tutaingia mbinguni bila kujali dhehebu na kama kuna Mkristo hataingia mbinguni basi kuna sababu zingine...
  20. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya au Chama Kipya? Je, Tunataka Kubadili Mfumo au Viongozi?

    Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…