wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Kingereza kitafelisha wengi kwenye Oral Interview. Mwalimu kama hujui kingereza ni bora usijisumbue

    Jamhuri ya Muungano.... Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza. Ndugu zetu walimu ni vizuri Siku Mbili zilizobakia kama unajijua unaongea broken English, bora ujipige Msasa kuficha...
  2. Vijana wa kike wengi wa Tanzania kuongelea mapenzi, mahusiano na ngono zaidi inaashiria nini?

    Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano, mapenzi, ndoa na ngono. Ni wanawake vijana au mabinti wachache sana utakuta wanaongelea siasa...
  3. Rais Samia kwa niaba ya wengi usiruhusu wachache waturudishe kule tulikotoka!

    Friends and Enemies, Rais Samia,Usiwaruhusu wakufanye uwe mjinga kama jamaa yule kwenye suala hili la demokrasia, Au pia usiwaruhusu wao wakufundishe namna gani ya kuifanya hii demokrasia ili hali wao wenyewe wanadai katiba mpya na demokrasia ili hali kwenye vyama vyao wameshindwa...
  4. M

    SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

    Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu! Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa! Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
  5. Maumivu ya hisia za kuachwa husababisha wengi kuwa 'bahili wa mapenzi'

    Sio kweli kwamba watu hawana mapenzi ya dhati. Si kweli kwamba mapenzi yalikuwa zamani. Si kweli kwamba watu hawajui kupenda. Si kweli kwamba wapenzi hupenda kuumizana. Tatizo kubwa kwa zama za leo ni hofu na mashaka ya kujitoa kwa moyo wote then unaambulia kuachwa. Wapenzi wengi siku za leo...
  6. D

    Kwanini wanandoa wengi hawawaruhusu wenza wao kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza ?

    Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi...
  7. Kwanini wasomi (wazazi) wengi wa siku hizi hawamiliki assets?

    Mmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985). Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya moja). Wamewaachia mashamba na mali nyinginezo nyingi. Lakini ninyi mmesoma hadi vyuo vikuu na mna kazi...
  8. Mikoa ambayo itakuwa na competition kûbwa Kutokana na wasailiwa kuwa wengi Vs mikoa yenye competition ndogo

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Waalimu mmepewa Siku tatu za kufanya mabadiliko katika akaunti zenu kuchagua mikoa àmbayo ntakuwa comfortable kufanya usaili WA mahojiano endapo mtafauku Written. Choose wisely. Unaweza ukajikuta umechagua Mkoa weñye wasailiwa wengi zaidi na hiyo kuzidisha...
  9. F

    Tanzania kuwa moja ya nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani ifikapo 2100, kuizidi Mexico, Japan na Brazil!

    Ifikapo mwaka 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 kubwa zaidi duniani kwa idadi ya watu. Pia Tanzania itakuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
  10. Utapeli mtandaoni unawaumiza wengi

    Naomba nieleze kwa ufupi. Kukua kwa teknolojia kunasaidia mambo mengi kukua ikiwemo biashara. Ila hivi karibu kumekuwa na utapeli dhahri mfano kwa hapa Tanzania. Kumekuwa na wafanya biashara kutoka upande wa Zanzibar hasa Pemba wakiuza vitu bei ya chini mbali na uhalisia mfano laptop. Ambapo...
  11. Pre GE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

    huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema.. Lakini...
  12. U

    Kisa cha Muisrael aliyeuawa na wasiojulikana, wengi walituhumiwa, alipofufuka alimtaja kaka yake kuwa ndiye muuaji wake, ukweli Mungu ndiye anayejua

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri aliuawa na watu walianza kuwatuhumu baadhi kuhusika na mauaji yao na waliwaaminisha jamii nzima kuwa...
  13. Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

    Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika. Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa asilimia 99%. Soma pia: Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara...
  14. Huu wimbo wa Pastor Munishi unaotuhumu CCM kupoteza wapinzani, hizi tuhuma hazikumuweka matatani?

    Hizi tuhuma haziwezi kumweka huyu mwimbaji matatani? Nyimbo zake zinaruhusiwa nchini?
  15. La Rocka bar ya Kawe, Dar ongezeni ulinzi watakufa wengi hapo

    Leo nilikuwa naaga jirani yangu mmoja pale Kawe. Kijana alikuwa mpambanaji sana sana. Mwisho akaenda kupata mbili tatu La Rocka bar Kawe Kufika akaja Kijana mwingine wakanza pishana maneno. Kijana akakasirika akaenda kuchukua kisu akampa ya moyo Bra bye-bye Rip soldier Bar please tujitahidi...
  16. G

    "WATANIONAJE" imeharibu maisha ya watu wengi sana kimaendeleo

    Kijana amemaliza degree yake karudi mitaa aliyokulia, yupo bize kuomba kazi na kutembeza bahasha bila mafanikio, kujitolea kwenye taasis kwa mshahara wa laki 1, n.k. Hawezi kufungua sehemu ya kunyoa nywele, kuwa seremala, kuuza mgahawa, n.k. kuna hofu ya watanionaje Mchezaji wa mpira, msanii...
  17. Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  18. Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

    Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much. Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
  19. Kwanini COVID-19 iliondoa wanaume wengi kuliko wanawake

    Jana tukiwa tunazika kunduchi nkaonyeshwa makaburi ya waliokufa na COVID Ni huzuni sana ukiacha matajiri yaani weengi ni wanaume bila kujali dini zao Tutuubu wanaume
  20. Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye walevi wengi Afrika. Nini kifanyike?

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa: 1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato kinachopatikana mikononi mwa watu, hasa katika tabaka la kati, kumefanya pombe iweze kupatikana kwa urahisi zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…