Jezi za yanga hizi zilizotoka juzi hazina uhalisia kabisa, colour palette ya timu ya yanga ni kijani na njano.
But hizi jezi mpya sijaelewa kwann wameamua kutumia rangi ambazo sio za yanga
Yanga kuweni serious na brand yenu, hizo rangi hapo juu hazimo kweny official colour palette ya yanga...