Natuamaini hamjambo wana JF?
Niende kwenye mada sasa.
SIGMA MALE NI NINI?
Hawa ni wanaume Tiger. Wanafananishwa na Tiger sababu ya sifa zao kama: kujitegemea (hawana vizinga), hawana maneno mengi (sio wakimya ila ukipiga nao stori sahau habari za umbea, mitandao au udaku), mysterious sana...