Hii Lucid Air kutoka Lucid Motors, USA, ni chuma na nusu aisee, especially kwa wadau wa executive sedans.
Naikubali katika sekta zote tatu kuu, muonekano, technology na performance!
Kwa muonekano, chuma inavutia sana, kuanzia nje na ndani. Imekaa kistylish na kisasa ukifananisha na sedans...