Ule msamaha wa wafungwa ni msamaha wa rais, aliyetoa msamaha kwa wafungwa hao ni rais Magufuli. Kitendo cha kusema huu msamaha sio wake ni msamaha uliotolewa na Mungu, by canotation yeye ni mungu!. Alipaswa aseme msamaha huu ni Mungu ndie ameniwezesha mimi rais Magufuli niwasamehe nyinyi hivyo ni Mungu amenitumia mimi kuwasamehe. Msamaha wa wafungwa ni msamaha wa rais na sio msamaha wa Mungu!.Pale nadhani Hakutaka kumaanisha Kuwa Mungu ni yeye
'Na hiyo isiishie hapo waende mbali zaidi wawapo na mikutano ambayo sio ya Siri ya chama Basi wawaalike hao hao viongozi wa kitaifa na maafisa usalama wa nchi,wakuu wa polisi Kama itifaki inaruhusu,wakuu wa mikoa,madc n k.'Jambo jema Sana Leo wapinzani kuhudhulia hakika nafikili hiyo ndo Maana halisi ya kula na kipofu.
Na hiyo isiishie hapo waende mbali zaidi wawapo na mikutano ambayo sio ya Siri ya chama Basi wawaalike hao hao viongozi wa kitaifa na maafisa usalama wa nchi,wakuu wa polisi Kama itifaki inaruhusu,wakuu wa mikoa,madc n k.
Hiyo itawaongezea uaminifu kwamba lengo Lao sio baya Bali ni katika kulisongesha gurudumu la maendeleo ya taifa tofauti na imani potofu za watu wachache wenye mitazamo hasi kuhusu upinzani.
Lazima wabadilike na wabadilike aina ya siasa wanazofanya ili ziwe na tija kwa wananchi na nchi kwa ujumla kuliko Sasa ambapo zimejikita zaidi kiharakati ukili ganisha na chama kinacholenga kushika dola.
Mi nafikili kiongozi mkuu wa upinzani ni mtu mzito Sana hivyo alipaswa apewe heshima ya namna yake Kama viongozi wengine wa kitaifa Kama busara zaidi zingetumika.
Wakae chini watafakari upya wapi waliteleza kwa sababu chama kimeporomoka kwa kasi ya ajabu,wanachama wamehamia chama tawala hiyo inaonyesha namna gani wamepoteza Imani na chama tofauti na walichotegemea kipindi wanajiunga.
Hajawahi kukosa hekima, ila hajaacha kumwambia ukweli kuhusu demokrasia. Leo ni siku ya Uhuru wetu sote.Mbowe kapewa kipaza asalimie watu kidogo.Nimependa kaongea ki hekma mno.
Inaelekea hata wewe ni mchawi. Unawezaje kuangalia tv na ku conclude kwamba hawa ni wachawi? Hayo mavazi ni jadi, ni mavazi wanayovaa wapiganaji wa kijadi waendapo vitani. Hizo ni mbinu za kumtisha adui.
Au umezaliwa miaka ya tisini nini. Ndio maana tunawafundisha hayo mjue. Ulitaka waje na suti kama mchungaji wako kanisani???
Vipi leo bawajapasua matofali utosini??Onesho hilo limekuwa hovyo sana hivi kweli uokoaji wa namna ile hata kama kiongozi katekwa na panya road hawa makomando wataokoa kweli!!!!?,wamebugi sana,onesho la kitoto
Soma Warumi 13Rais Magufuli atoa msamaha wa kihitoria wa wafungwa 5,33!.
Huu ni msamaha mkubwa kabisa kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania tangu tupate uhuru.
Kiukweli rais Magufuli atabarikiwa sana. Hata kama rais Magufuli ana makosa yake madogo madogo ya kibinaadamu,
Ila alipomalizia ameharibu kusema msamaha huu umetolewa na Mungu ambapo sasa connotation yeye ni mungu!.
P
vijana soft soft mnakwama wapi?Naangalia maadhimisho ya sherehe ya miaka 58 ya Uhuru, Kuna kikundi cha sungusungu kwa kweli wamevaa kichawi kabisa na matendo yao hata hayaeleweki.
Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.
Naona mipango ya kuongeza idadi ya kura inafanyika.Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewasamehe wafungwa wapatao 5,533.
Ametoa msamaha huu sasa hivi kwenye sherehe za Uhuru zinazokaribia kumalizika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Msamaha huo utawahusu wafungwa waliobakiza muda wa chini ya mwaka mmoja kuishi gerezani.
Akili yako ya matope wewe, huna ulijualo, kazi yako kulamba makalio ya wakubwa wenu ndani ya chama cha mauajiNaona wapinzani akili inaanza kuwaingia na ule moyo wa kupinga pinga kila kitu umeanza kuwatoka.
Kwa hili nawapongeza sana . kitendo cha Mbowe kuhudhuria sherehe za Leo ni hakika akili imemrudia.
Magufuli ana uwezo kumfunza mpinzani wake kwa vitendo.
Najua wapo wapuuzi wachavhe watapinga lkn hamkatazwi pingine tu lakini ukweli Mbowe amenyooshwa.
Si kipuuzi tu bali ni stupid huyo mleta madaKuna jambo ndani yako ila umelileta kipuuzi