2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kitendo Cha kukosa refa Toka Tanzania pamoja timu taifa inashiriki ni majibu tosha tunasindikiza washindani
Sisi mpira bado sana kwanza hatuna vipaji pia ata wachezaji wetu wakuota hao ukifwatilia historia yao ya makuzi ya kisoka unachoka mara sjui mchezaji alianza na Ndondo mara akenda coast union,afu gafla yupo simba mara huyo timu ya taifa si upuzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…