Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulinganisha Goalkeeper na takataka la shati goliniBora anayetema, kuliko hata huyo kutema hawezi, anaacha liingie 1 kwa 1, afu relaaxx sawaa eeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Kiko wapi sasa....Leo Tanzania tunakipiga na Morocco saa mbili usiku!
Kila la kheri Tanzania [emoji1241]
game ya leo mchana na hii ni one of the best game za second roundFull Time.
Cote D'Ivoire 0 - 1 Nigeria
hahaaa sema Egpty ashinde bwanaKila la heri egypt, pigeni hao
watu wapo kazini ukiskia maana ya mpira vita Ndio hiyoSema baada ya mechi inabidi kipa wa Ivory Coast amfate private yule mpiga penati amuulize. Nje ya kuhitaji kufunga alikuwa na nia gani nyingine. Ule sio upigaji aisee
hahaaa sema Egpty ashinde bwana
wew juz si ulitabiri ivory coast kwenye list ya timu zitakoza beba ubigwaKwangu mimi hizi ndio timu bora za muda wote kwa upande wa national team kwa africa
Nigeria
Cameroon
Egypt
Ghana
wew juz si ulitabiri ivory coast kwenye list ya timu zitakoza beba ubigwa
Sisi mpira bado sana kwanza hatuna vipaji pia ata wachezaji wetu wakuota hao ukifwatilia historia yao ya makuzi ya kisoka unachoka mara sjui mchezaji alianza na Ndondo mara akenda coast union,afu gafla yupo simba mara huyo timu ya taifa si upuzi huuKitendo Cha kukosa refa Toka Tanzania pamoja timu taifa inashiriki ni majibu tosha tunasindikiza washindani