Watacheza wanavyocheza Ila kipigo kipo pale pale lazima watoke Senegal aendelee na hatua ya robo fainaliWatacheza na presha kubwa sana
Kwanza kuwaridhisha mashabiki
Pili, wapo nyumbani hawatataka aibu kubwa kuendelea kuipata😂😂
Leo sijui didierrr dirogba atakaaje
GABOKSI ameruka penalty zote kulia hakuna hata moja aliyoruka kushoto na penalty zote walizofunga Congo wamepigwa kushoto Gaboksi anaruka kulia km mtoto yaan pale alipokosa penalty naona kaenda kulia kwa Mama yake 🥺Kunq makipa wengine wanakariri wanajua mtu akitumia mguu wa kushoto uelekeo wa mpira ni wapi
Makipa wengi wanaruka sana upande wa kushoto
Cape verde kupita unampa ngapi?Watacheza wanavyocheza Ila kipigo kipo pale pale lazima watoke Senegal aendelee na hatua ya robo fainali
Huyo yupo vizuri Ila kwa Mauritania anaweza akaangusha taulo, maana kinachowaangusha presha Jana equatorial guinea presha ya mchezo imewaondoa dakika ya mwisho ya nyongezaCape verde kupita unampa ngapi?
Hapa walikuwa wanataka Mayele apangwe hamna kingine.Watanzania kila mtu ni kocha na ni mchambuzi .
😂😂😂 tafusiri puliizzzz Mkuu. 😂😂MERCI LES LÉOPARDS 🇨🇩🐆❤️
Santo sana!
Kweli Mungu wangu ana nguvu sana Iiiiiigggweeeeeeeeeeeee
uran The Lastdream atold you hajawahi niangushaaaaaaa Naombeni mkeka wa leo nione upepo kwanza
cc Smart911
😂😂😂😂!Ivory cost nasikia wamewekewa wanajeshi kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo 45 za kwanza wasiporudi na goli vyumbani ni mikanda tu
Thank You The Leopards (Congo)[emoji23][emoji23][emoji23] tafusiri puliizzzz Mkuu. [emoji23][emoji23]
Afadhali rafiki.Thank You The Leopards (Congo)
Santo sana
Mayele hakucheza mpira janaKwan angekosa hiyo penalt, afu Congo ikatolewa mbona lawama zote angebeba yeye. Afadhari kapataa
Kwan mayele hakupiga penalt?
2026 hatuwataki kabisa waende huko Arab nation leagueKwa mbali naona ufalme wa Timu za Taifa za Kiarabu unaenda kupotea vile.
Au ndo hii michuano hiu imewakataa mana mpaka hapa aliyebakia ni Morocco.
Kabisa mwenyeji tunamuagisha tena mashindano leo rafiki. 🤣🤣🤣Santo sana
The other two Ivory Coast hatoboiii