Sijawahi kubashiri matokeo ya match wakati wote wa mashindano haya ya Afcon, lakini leo match itaishia 90 minutes na mambo yatakuwa hivi;👇
NIGERIA 1:2 COTE D'IVOIRE
Hakuna extral time wala penalt shouts outs.
[emoji817][emoji419]Hawa mfano wao una Fanana sana pia na Ureno Mwaka ule wanatwaa Euro dhidi ya Mfaransa Fainali
I guess so...Hatimaye mambo yametimia.
Poleni kwa Team Nigeria
Hongereni sana Team Cote d'Ivoire kwa kuibuka kidedea kwenye mtanange huu.
Km wangeshinda leo, huko mitandaoni pasingekalika. Wapopo wana misifa snHawa matapeli hawakutakiwa kufika final
Hiyo final ilikuwa yetu South Africa
Ngoja nicheke kwanza.Sasa na Sisi 2027 Itakua Zamu yetu Kubakisha Ndoo Nyumbani. Si ndio Ndugu zangu?
Kuna watu wameishi kwa kuhama Hama Hadi wamechukua kombe 😂😂😂Mkuu,nakumbuka sana Jana ulisema Nigeria mpewe kombe lenu mapema
Kbs Nigeria waliona hii final Yao.Timu inapoenda kufungwa unaona tu. Kama Taifa Stars Vs Zambia. Niliweka dakika 3 goli linarudi na ilitumika dakika 1 tu likarudi kweli.
Wala Hakuna Uchawi hapo, Ivorians Hata uki waangalia Mmoja Mmoja, ni wachezaji wenye Profile Kubwa, Wengi wana Uzoefu wa Hali ya Juu, na Kuthibitisha hilo leo amecheza Mpira Kama Giant.Mtumishi Wewe Unaamini Uchawi [emoji23]
Kuna watu wameishi kwa kuhama Hama Hadi wamechukua kombe 😂😂😂
Kulia kupokezana, Leo zamu yao😂😂😂Hawa matapeli hawakutakiwa kufika final
Hiyo final ilikuwa yetu South Africa
Hivi wale walifungwa kama ngoma Equatorial Guinea walikuwa Ivory coast kweli?Wala Hakuna Uchawi hapo, Ivorians Hata uki waangalia Mmoja Mmoja, ni wachezaji wenye Profile Kubwa, Wengi wana Uzoefu wa Hali ya Juu, na Kuthibitisha hilo leo amecheza Mpira Kama Giant.
Kaahh...nisivowapenda waarabu Mimi mwenzenu!!!!yaani nna Raha mnoo Kwa Cot d voirKiukweli mimi nilimpa Egypt
Sikuamini walivyonishangaza
Belle tu es là ? ça fait longtemps que je ne te vois pasFélicitations les éléphants 🇨🇮