2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Sijawahi kubashiri matokeo ya match wakati wote wa mashindano haya ya Afcon, lakini leo match itaishia 90 minutes na mambo yatakuwa hivi;👇

NIGERIA 1:2 COTE D'IVOIRE

Hakuna extral time wala penalt shouts outs.

Hatimaye mambo yametimia.

Poleni kwa Team Nigeria

Hongereni sana Team Cote d'Ivoire kwa kuibuka kidedea kwenye mtanange huu.
 
Huyu Nyau auawe tu sasa 😂😂😂😂
Screenshot_20240212-010755~2.png
 
Back
Top Bottom