Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #981
AFCON haina timu kubwa, ukizubaa unapigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaAFCON haina timu kubwa, ukizubaa unapigwa
Ubaya wao ni kuwa wanawahi kukata moto[emoji16][emoji16][emoji23]
Majamaa yameshindana kufuga ndevu.Piga haoooo,cameroon
[emoji23]Watu wanachukulia kauli yako kama masihara lkn ukweli ni kwamba Kikosi chote ha Cape Verde hakuna hata m1 anacheza team ta Africa wote wanacheza ulaya kweli.Mpaka sasa sijaona timu inayocheza mpira wa kueleweka kama cape verde. Wanacheza mpira wa kiulaya kabisa
.Yule chupo-moting wa bayern vp hajaitwa au aligoma maana anakuaga na pigo za kiboya sana
Ndo namshangaa na mm.Kwamba wewe ungekua kocha ungempanga leo?
Tuwasubiri morocco pia[emoji23]Watu wanachukulia kauli yako kama masihara lkn ukweli ni kwamba Kikosi chote ha Cape Verde hakuna hata m1 anacheza team ta Africa wote wanacheza ulaya kweli.
Kwhy iyo inaweza kua sababu kwnn soka lao wanalitandaza kwa umaridadi mkubwa.
LAbda game zijazo atacheza maana niliona post inasema cameroon na man utd zilikubaliana kua akimaliza game na tottenham ndo atasepa.Ndo namshangaa na mm.
Yan wenzake wako kambin yy jana yake anacheza game Manchester hlf leo wenzake wana game hlf uje umpange.. Yan kwamba unamuogopa au nn?
Tena ni basi tu mm ndo kocha namwambia wazi kbs sikutaki hata kikosi ww baki Manchester ntabak na squad yng niliyo nayo.
Ni kama dar es salaam ni balaaIvory Coast ni Joto sana?
Kbs nasbr kuwaona na wao soka lao.Tuwasubiri morocco pia
Nakazia matokeo yawekwe hapa tupo gizani TV zimezimika hamna umeme 😬Matokeo jamani, kwetu umeme hakuna tangu mchana mpaka mda tuko giza