2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mpaka sasa sijaona timu inayocheza mpira wa kueleweka kama cape verde. Wanacheza mpira wa kiulaya kabisa
[emoji23]Watu wanachukulia kauli yako kama masihara lkn ukweli ni kwamba Kikosi chote ha Cape Verde hakuna hata m1 anacheza team ta Africa wote wanacheza ulaya kweli.

Kwhy iyo inaweza kua sababu kwnn soka lao wanalitandaza kwa umaridadi mkubwa.
 
Yule chupo-moting wa bayern vp hajaitwa au aligoma maana anakuaga na pigo za kiboya sana
.
Screenshot_20240115-203335.jpg
Screenshot_20240115-203351.jpg
 
Kwamba wewe ungekua kocha ungempanga leo?
Ndo namshangaa na mm.

Yan wenzake wako kambin yy jana yake anacheza game Manchester hlf leo wenzake wana game hlf uje umpange.. Yan kwamba unamuogopa au nn?

Tena ni basi tu mm ndo kocha namwambia wazi kbs sikutaki hata kikosi ww baki Manchester ntabak na squad yng niliyo nayo.
 
LAbda game zijazo atacheza maana niliona post inasema cameroon na man utd zilikubaliana kua akimaliza game na tottenham ndo atasepa.

Ngoja tuone , ila hii ya leo kutokuwepo kwenye game lilikua jambo la wazi sijui jamaa alitaka kusemaje🤣
 
Back
Top Bottom