Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Nilisema hapa. Tayari 1-0Angola hapa ni suala la muda tu. Goli linakuja muda si mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisema hapa. Tayari 1-0Angola hapa ni suala la muda tu. Goli linakuja muda si mrefu
wanakimbiliaje kuweka Basi na Mpira Ndio unaanza wacha yapigwe tu maana humo mengi utakuta ni ma congo manNilisema hapa. Tayari 1-0
Nakazia. Angola maji ya shingoHawa Algeria wanacheza mpr wa msako.. Yan mpute mpute ukiweza kustain pressure yako Kadri unavoenda wakapoa unaweza wavizia counter ukawapiga chuma.
Swali ni je utaweza kuzuia huo msako usifungwe.. Angola imeonekana hawez.
awa si tunawaweza Basi tu kwa vile kibwana shomari ni mfupiYes.. na Novatus Dismas aliwachapa matobo vilevile
Yan Angola huu mpr unaweza kua mrefu sana hawa warabu wamekuja na mpr wa msako mtafute tafute.. Kwhy wakikaa vby wanaweza chukua 2 1st half wakachukua zngne 2 2nd halfNakazia. Angola maji ya shingo
wana hasira na kutoka mapema michuano iliyopita saizi hawataki mchezo na taifa lolote lileYan Angola huu mpr unaweza kua mrefu sana hawa warabu wamekuja na mpr wa msako mtafute tafute.. Kwhy wakikaa vby wanaweza chukua 2 1st half wanachukua zngne 2 2nd half
Inaonekana maana 2-0wana hasira na kutoka mapema michuano iliyopita saizi hawataki mchezo na taifa lolote lile
Na Dickson Job... na Nkane yaani Wafupi Mediaawa si tunawaweza Basi tu kwa vile kibwana shomari ni mfupi
Lilitakiwa kusimama hili. Bonge ya goliHili goli limekataliwa ila kali