2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

wana hasira na kutoka mapema michuano iliyopita saizi hawataki mchezo na taifa lolote lile
Inaonekana maana 2-0

Bahat yao offside

Hawa Angola wakae chonjo huu mpr wa Algeria ni wa hatr hlf huyo forwar wao

Baghdad Bounedjah atawatoa roho falaa anaoneka kama amepania kupata kiatu vile ananyumbulika sio kawaida.
 
Back
Top Bottom