reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Labda tuliokote barabaraniSasa na Sisi 2027 Itakua Zamu yetu Kubakisha Ndoo Nyumbani. Si ndio Ndugu zangu?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tuliokote barabaraniSasa na Sisi 2027 Itakua Zamu yetu Kubakisha Ndoo Nyumbani. Si ndio Ndugu zangu?
Hivi wale walifungwa kama ngoma Equatorial Guinea walikuwa Ivory coast kweli
awo vijana utawakuza kwa miaka miwili tu mpira unahitahi mandalizi ya mda mrefu sana usisahua hii michuano unakuja kucheza na watu wamezoea kucheza michuano mikubwa duniani UEFA,EPL,LA LIGA kijana kama Kelvin john had leo hajaanza kucheza timu ya TaifaTuwekeze kwenye timu za Vijana Mkuu tutatoboa
Siasa nyingi saña nchini kwetuIvory Coast mwandaaji wa Mashindano ya AFCON 2023/2024 amefanikiwa kushinda Kombe.
Vipi Tanzania Mwaka 2027 tutatoboa?
Tuendelee kuwekeza kwenye timu zetu za Vijana under 15/17 na under 21
Ndio Mwezi wa sita zinafanyika GermanyEh euro kumbe ni mwaka huu eeh.
Kbs km gem ya leo 90% waliwapa nigeria ushindi, kilichotokea ss dohTena Sana Yan Sana.
Ndo Raha ya mpr Unachokiwaza hakitokei
Asantee mkuuNdio Mwezi wa sita zinafanyika Germany
Mmemkoti nyau vibaya amemaanisha Nigeria wanatolewaHuyu Nyau auawe tu sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2901306
Wesema wanaupiga mwingi ila serikali hii na chichiem ni mav mavi sana alooYan muda huu ndio wanarudisha umeme
Kimazabe mazabe kwa kuyatoa mataifa ya mpira kama Senegal na Mali?Mpira walicheza ila hawakua na ile effort kama mwenyeji.Kwa wachezaji waliokua nao walitakiwa wawe tishio badala yakupita kimazabe mazabe hadi fainali.Ila hongera kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Km maandaliz ndo waanze ss hv ss waandae vijana. Lkn ss hamna lolote watafanya yn watasubir hd hyo 2027 tuanze kuunga unga mwee
Walisema dogo hana nidhamu sijui kocha hamtakiawo vijana utawakuza kwa miaka miwili tu mpira unahitahi mandalizi ya mda mrefu sana usisahua hii michuano unakuja kucheza na watu wamezoea kucheza michuano mikubwa duniani UEFA,EPL,LA LIGA kijana kama Kelvin john had leo hajaanza kucheza timu ya Taifa
Ingetukuta watz hiyoHawa ivory coast hawajui kushangilia yn hawana mbwembwe nyingi
Wahamasishaji eti baba levo na mwijaku jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wenzetu Leo mmewaona kina Drogba ,Kalou yaani wako Kabisa wanaonesha wanaumia live yaaniKm maandaliz ndo waanze ss hv ss waandae vijana. Lkn ss hamna lolote watafanya yn watasubir hd hyo 2027 tuanze kuunga unga mwee