2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mpira walicheza ila hawakua na ile effort kama mwenyeji.Kwa wachezaji waliokua nao walitakiwa wawe tishio badala yakupita kimazabe mazabe hadi fainali.Ila hongera kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimazabe mazabe kwa kuyatoa mataifa ya mpira kama Senegal na Mali?

Hawa jamaa walitambua makosa yao na wachezaji wakaacha pride zao ili kuvuja jasho kwaajili ya team yao, wala sio bahati.

Ukiangalia ule mpira aliopigiwa Senegal, Mali na huu aliochezewa Nigeria leo, utagundua kuwa hakuna mazabe hapo.
 
Km maandaliz ndo waanze ss hv ss waandae vijana. Lkn ss hamna lolote watafanya yn watasubir hd hyo 2027 tuanze kuunga unga mwee
Wahamasishaji eti baba levo na mwijaku jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wenzetu Leo mmewaona kina Drogba ,Kalou yaani wako Kabisa wanaonesha wanaumia live yaani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haya wote tumeona Drogba uwanjani, Solomon Uwanjani, sisi na chichiem yetu tukaamua kubeba mwinjaku sijui na baba nani yule , yan badala ya kubeba professionals tumebeba machawa, Jaman tujifunzage kwa walio fanikiwa… aloo acha kabisaaa yan babalevo na mwinjaku kwa pamoja nikiwaambia wapige hata danadana tano yan 2+3 kwa pamoja wakiweza nawalipa…
 
Back
Top Bottom