Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
-
- #81
SawaaKwanza siyo kweli kwamba wapinzani ni waoga.
Wamepiga vita for 20 years ambayo inafanya wastahili pongezi.
Kinachokufanya uone upinzani ni dhaifu ni dola kuwanyima jukwaa tu, wakipewa jukwaa ndiyo utajua wanauwezo kiasi gani.
Magufuli aliwafungia kufanya siasa for five years lakini alipowafungulia ilimlazimu kukodi mpaka watu wakumpiga mawe mgombea wa upinzani pale chato.
CCM imepata ahueni sana upande wa Zanzibar kwa sasa kuliko kipindi chochote kwa matukio matatu yaliyofuatana.
1. Kusambaratika kwa CUF
2. Kifo cha Maalim Seif
3. Wafuasi wa CUF kujiunga ACT Wazalendo badala ya CHADEMA.
PoleSisiemu hata iwe na mgombea dhaifu itashinda tena kihalali sababu upinzani hawana mtu sahihi... ni majizo ma magaidi na watetezi wa mabeberu tu ndio wako huko... huyu mama binafsi simkubali ila atashinda saa tatu asubuhi...
Kweli kabisaMbowe has been a quality candidate from day one probably kinachomwangusha ni trust issues kwenye jamii anayotoka.
Ma CCM hayoAkili ndogo wewe, kwa nini hao wanaoweza kushinda wanaogopa tume huru ya uchaguzi na badala yake wamekomalia tume yao. Jibu hilo swali kwanza.
Chadema ya sasa hakuna figure ambayo ni "presidential material" huo ndio ukweli.2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Kwanini wasiende na wewe, Hao wote ni madalali tu wataipiga bei nchi yetu
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Sio hivyo tu siasa za kwenye majukwaa pia haziwezi ,Upako wa kisiasa kwake upo chini, sio kwamba Rais lakin tuliomfatilia kampeni za 2020 Kama mgombea mwenza ukubalikaji wake ujengaji wa hoja aliachwa mbali na mgombea mwenza wa CHADEMA,
Sasa nafasi ya urais si ndo itakua balaa, Sana ataeleza ujenzi wa madarasa, nalo jibu litakua MOJA kwamba ni pesa za uviko
Atasema miladi imemalizika,sijui reli, Bwawa,n.k jibu litakua ni MOJA tu TOZO ZETU,
Akija na mpango wa kuboresha maisha ,ataambiwa Tumeisha shutuka hakuna mitano tena
Hoja zinakua zimekwisha
Kinachombeba Mbowe kumlinganisha na mgombea wa ccm ni kesi aliyonayo?
It's true huenda kweli amesingiziwa lakini sababu hiyo pekee haimfanyi awe mgombea bora!
Labda utuambie amekupa sera zipi ili tuzipime!
Mpaka sasa tuna upinzani dhaifu kuliko wakati wowote katika historia ya upinzani na vyama vya upinzani hapa Tz. Hakuna chama hata kimoja chenye mtu ambaye anakubalika na watanzania wengi kama mgombea wa kiti cha urais kutoka upinzani. Wapinzani wamekuwa so weak kiasi kwamba wamebaki tu kimya hawakemei waziwazi mambo mabovu yanayofnywa na serikali kwa kuogopa kushambuliwa au hata kuuwawa.
Kama wapigania uhuru wa mataifa haya ya kiafrika wangekuwa waoga kama walivyoviongozi wengi wa vyama vya upinzani hapa Tz naamnini mpaka leo nchi nyingi za kiafrika zingekuwa bado zinatawaliwa. HAKUNA TENA UZALENDO BALI NI MASLAHI TU.
Toa ujinga wako mkuu,weak kwa nani? Samia atazoa kura kama zote Kwa sababu kafanya vizuri kwenye maendeleo.
Maendeleo ya south yalikuwa kwa wazungu sio kwa waafrika.Maendeleo gani? Kama maendeleo yanaleta kura basi makaburu wa Afrika Kusini wangekuwa madarakani mpaka leo. Acha haya maendeleo uchwara ya hapa nchini.
Magu alimshinda nani? Au alimshinda Lisu?2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Yes jamii haiwachukii ila ina mashaka nao.Kweli kabisa
Jamii anayotoka ndio inayoonekana kuwa shida kwa watu.
....Kwa sababu ya wizi, hakuna zaidi ya hilo.Wote ni mataputapu.Tafuteni ruzuku kupitia wabunge.Hakuna atakayemshinda Samia.
"Presidential Material" ndio kitu gani hicho na unaweza ukatupatia definition yake?Chadema ya sasa hakuna figure ambayo ni "presidential material" huo ndio ukweli.
Ndio maana hatuitaki hiyo tume ya ccm kwa sababu Lowassa ndio alipata kura nyingi lakini wakabadilisha na kumpa dikteta Magufuli. Bure kabisa.Mbona Lowasa alipata milioni sita 2015 na Magu akapata milioni 8??