750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

Mkuu humu kuna mafogo hatari.

Uzuri wa humu muosha magari anamtukana boss wake, muuza vitunguu sokoni anavimba kuwa anafanya kazi UN Geneva.

Uamuzi ni wako uwe nani humu.

#fakeituntillyoumakeit#
Wewe umeamua kua nani mkuu??

Binafsi nabadilika kulingana na mada husika, kwa hapa hata mimi take home ni $5000 per month.
 
Haha
Kuna wale wa kujenga ni uoga wa maisha


Hivi ni kweli? Au ni mtu tu anajifariji baada ya kujijua hana pesa za kutosha 🀣
 
Hata mwanza pamekaa kinafiki sana
 
Bro, mm nakuchukualiaga ww kama role model kwny mafankio. Kwa kazi unayofanya still una appreciate mambo ya kuajiriwa??

If u were given a chance to choose btn ur current job na kuajiriwa(ajira yenye salary kuanzia 1million), utachagua kipi?
 
Mkuu nikiandika ukweli hapa nitaonekana najisifu lakini ukweli hio 1.5 nusu mwezi labda.
Unajua nini, hata ukipata laki kwa mweiz utaishii tu. Matumizi yanategemea na kipato. Hapo utakuta una matumizi mengi yasiyo ya lazima..kwa mfano watu wamekuomba vocha, msiba umetokea umechanga 50,000 wakati wengine wanachanga 5000...unatembelea gari wakati wengine ni daladala...so kila mtu anaishi kwa urefu wa kamba yake.
 
Safi sana

Mkuu Nitarudi @Pale Rau madukani
 
..hiyo ukifanyia tumbo tu inatosha...lakini ukiweka starehe na huduma nyingine za jamaii..kama michango ya harusi...misiba...kupiga milupo ..bar n.k haitoshi..hapo hujaongelea shule watoto .ambao inabidi uwapeleke kayumba..au mke kuvaa na kwenda saloon....ambapo inabidi usahau..kama una mke ajitegemee au adange...asuke twende kilioni kwa jirani..na avae marapurapu/mitumba ya bei chee....maisha bongo yapo juu sababu ya kuigana...lakini mikoani unafanya yote ...na milupo unapiga kwa huo mpunga...jipange sana.au hama mji....ila si mwanza na arusha..huko ni zaidi ya bongo ..
 
Bro, mm nakuchukualiaga ww kama role model kwny mafankio. Kwa kazi unayofanya still una appreciate mambo ya kuajiriwa??

If u were given a chance to choose btn ur current job na kuajiriwa(ajira yenye salary kuanzia 1million), utachagua kipi?
My current job mkuu maana mwaka juzi nmekataa ajira yenye kukaribia huo mshahara.
Mkuu hata yeye anafanya kazi halafu anafanya ninachofanya ndicho kilichotufanya tufahamiane na kuwa marafiki wakubwa mkuu.
 
Mavazi usiweke kwenye ziada chifu ni moja ya yale mahitaji 3 muhimu ya binadamu

Chakula, malazi na mavazi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aloooo
Yan kwamba tunakula hadi akiba
Kuweka akiba ni muhimu Mkuu πŸ€ͺ

Nchi yenyewe inaweka akiba ya Fedha za Kigeni, Chakula n.k sembuse sie akina hoehae
 
Mavazi usiweke kwenye ziada chifu ni moja ya yale mahitaji 3 muhimu ya binadamu

Chakula, malazi na mavazi
Ndo kila mwezi upo dukani mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani usione kiatu kimeletwa mbele yako tayari ushaingia mfukoni wew hujiulizi why matajiri unakuta ana raba moja na jinsi flani mwanzo mwishoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…