Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

Sele anataka aone Zege linamiminwa ndio i click! [emoji1787]

Mama anatakiwa arudishe kile kitengo cha Propaganda cha Mwendazake, Watu walllishwa sana Propaganda mpaka wamekuwa Mateja.
Watu waliona sio propaganda
 
Sele anataka aone Zege linamiminwa ndio i click! 🤣

Mama anatakiwa arudishe kile kitengo cha Propaganda cha Mwendazake, Watu walllishwa sana Propaganda mpaka wamekuwa Mateja.

Mkuu, kazi kama zinafanyika haihitaji maneno mingi kuzitangaza, zinajitangaza zenyewe.

Kwahiyo hivyo vyote alivyotaja ni propaganda, havikufanyika?

Kipindi cha mzee uliwahi kusafiri ukatembea maeneo tofauti ya Tanzania?

Huyo mzee muacheni apumzike, kwa kazi alizofanya watu kama nyie hamna hadhi hata tu ya kutamka jina lake.

Na niamini mimi, hata nyie msiposifia kazi zake, vizazi vyenu vitakuja kusema.
 
Serikali inabidi itoe elimu zaidi
Mikopo mfano imejenga shule nyingi na hospital kila mahali

Lakini Afende sele aelewe mikopo ni madeni sasa yanalipwaje. Mkopo mfano ya sehemu y kwanza ya reli Magu alikopa kwa riba ya juu sana 8% kwa miaka 6 mkopo wa $1.5 B mi kama billion 600 kwa kila mwaka je pesa hizi za kulipa zinatoka wapi? Lakini reli bado haijaisha hizo pesa zinatoka wapi?. Pesa za bwawa zitoke wapi.

Utaratibu wa kutaifisha pesa za wafanyabiashara, kuteka matajiri na kuchukuwa pesa za maduka ya pesa haziwezi kuwa endelezi badala yake inabidi kuwe na mifumo mizuri.
Hospitali na vituo vya afya vilijengwa kipindi cha magufuli,kikubwa kilichofanuwa awamu ya mh. Samia ni kujenga ofisi za walinzi kwa mamilioni.
 
Mngekuwa mnaleta ushahidi (statistic na data), sio kuleta mihemko tu. Pesa ya kununua ndege zile haikukopwa popote, ni pesa yetu taslim.
Hata kama ingekuwa ya kukopa,ilionekana ilichofanya. Sasa awamu hii Mwigulu Nchemba alishaifanya nchi kama yake kwa matozo meeeengiiii....hela nyingi zinakusanywa hadharani tena kwa lazima,matumizi yanafanyikia kwenye mahoteli na bar. Stupid me!!!
 
Mkuu kumbuka kuna kurudisha mikopo. JPM alikopa mikopo ya kibiashara ya muda mfupi na riba kubwa. Sasa hiyo mikopo inatakiwa kurejeshwa na miradi yoote mikubwa aliyoanzisha kuanzia ununuzi wa midege, SGR, bwawa la umeme n.k hakuna hata mmoja umeweza kurudisha hata shilingi. Mambo siyo rahisi kama tudhanivyo.
Una ushahudi wa kudhibitisha tulikopa mkopo wa muda mfupi?au ni story za kijiweni mnapeana?km ww unaweza kwenda NMB ukapata mkopo wa nyumba kwa miaka 15-20 why serikali ikope mkopo wa muda mfupi kujenga miundo mbinu?km haya mambo hamyajui muwe mnakaa kimya, mkifunguka km hivi mnatuonesha ni jinsi gani mlivyo weupe vichwani.
 
Afande sele aache kumparura Mama anapaswa amkune,Mama anafungua nchi maana mpaka sasa tumefikia hatua ya kujenga Kibanda Cha mlinzi kwa milioni 11
 
Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani
Tumia lugha ya kistaarabu bc
 
Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani
Binafsi kama nilidanganywa bwawa la nyerere, bombadia, makanikia, fly over, magomen kota, SGR,PANYA Road walikuwa adimu, barabara ya ubungo kwenda kibaha, stend ya MAGUFULI tena live nimeona bila CHENGA basi hayati alikuwa MWANAMAZINGAOMBWE MBOBEZI,ila huyu anayejiita wa awamu ya sita sijaona chochote zaidi ya VIBANDA VYA WALINZI na VYOO vinaleta ukakasi gharama zake na huku atakuamua TOZO ni hatari kuliko HAYATI.
 
Kwa hyo kipindi Cha magu kulikuwa hakuna kulejesha mikopo iliyokopwa kipindi Cha awamu za nyuma?.acha kutuona wa tz niwa 1950.madeni yapo tangu awamu ya kwanza .amekopa na vitu tumeviona na alikuwa analipa mikopo ya nyuma.huyu anakopa+Hela za covid+Hela za tozo Kila mahala lakini hakuna jipya
Na yeye alikuwa arudishi mikopo iliyoachwa na watangulizi kabla yake?
 
Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani
Andika vizuri wew pimbi. Kuhamini ndiyo nini!
 
Mkuu, kazi kama zinafanyika haihitaji maneno mingi kuzitangaza, zinajitangaza zenyewe.

Kwahiyo hivyo vyote alivyotaja ni propaganda, havikufanyika?

Kipindi cha mzee uliwahi kusafiri ukatembea maeneo tofauti ya Tanzania?

Huyo mzee muacheni apumzike, kwa kazi alizofanya watu kama nyie hamna hadhi hata tu ya kutamka jina lake.

Na niamini mimi, hata nyie msiposifia kazi zake, vizazi vyenu vitakuja kusema.
Nakazia hapa: mimi mkazi wa buza sasa taa zinawaka barabarani kama posta na kile kituo cha afya pale kanisani Eeeh bwana kama kweli alikuwa mnyanganyi kama wangese wasemavyo basi MWENYENZI MUNGU AMSAMEHE KWA HAYA NILIYOYASHUHUDIA MIMI MCHIMBA CHUMVI!!
 
Serikali inabidi itoe elimu zaidi
Mikopo mfano imejenga shule nyingi na hospital kila mahali

Lakini Afende sele aelewe mikopo ni madeni sasa yanalipwaje. Mkopo mfano ya sehemu y kwanza ya reli Magu alikopa kwa riba ya juu sana 8% kwa miaka 6 mkopo wa $1.5 B mi kama billion 600 kwa kila mwaka je pesa hizi za kulipa zinatoka wapi? Lakini reli bado haijaisha hizo pesa zinatoka wapi?. Pesa za bwawa zitoke wapi.

Utaratibu wa kutaifisha pesa za wafanyabiashara, kuteka matajiri na kuchukuwa pesa za maduka ya pesa haziwezi kuwa endelezi badala yake inabidi kuwe na mifumo mizuri.
Kwaiyo bora huyu anayekopa matrillion halafu wanajenga VYOO na vile vibanda vya mlinzi?

Kama Hayati alikosea kujenga fly over, Bwana la nyerere, SGR, kununua bombadia,kutuunganishia umeme kwa elfu 27,tena kipindi kigumu cha CORONA ilitamalaki.

Kweli hayati afai anafaa mjenga vibanda vya WALINZI, unga wa sembe 1kg 2000 na tozo.
 
Watanzania waliowengi ni wajinga mama anatakiwa afanye kazi asiwasikilize hawa wapuuzi aina ya afande sele magufuli aliacha hazina ikiwa nyeupe kwa miradi yake ya kipumbavu ambayo MPAKA leo haijaleta faida mfano mandege ya ATC ni hasara tupu na bora alikufa maana hela alishamaliza kwenye kihenge tukawa hatukopesheki tena the only solution aliyoiyona ni kuanza kuteka matajiri na kukwapua hela za watu mbaya zaidi akaingilia MFUMO wa mahakama wa kununua haki (plea bargain) na ili kuondoa ukosoaji akaterorize taifa yoyote aliyemkosoa alikiona cha mtema kuni leo hii Huyo selemani msindi ingekuwa enzi za belzebuul magufuli angeshakuwa misitu ya bigwa au tungi Morogoro huko analiwa na funza hicho ki tv uchwara cha mtandaoni kingepigwa bomu na kuuwawa watu wake mwacheni mama afukie mashimo ya mwehu yule wa chato.
 
Wewe mkundru kajipange vizuri na hii serkali yako ya mataahira! Hazina nyeupe hivi nyinyi huwa mnafikiri kwa kutumia matako ee?

Back
Top Bottom