The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Mtu mwenye Roho mbaya. Moyo wa kujali wahitaji anaupata wapi?Magu alikuwa na madhaifu mengi sana na roho mbaya, lakini kwenye kuwajali wananchi wenye hali duni za maisha alikuwa imara kidogo.
Kwasasa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake