Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Huyu jamaa unamfahamu? katinga nini miguuni hapa:
 

Attachments

  • 1730052082195.png
    137 KB · Views: 6
Hizi ndio Rehema za Allah eti ndio mafunzo yanavyosema hakuna kuongea na mwanamke mwenzako au haya mafunzo/Maelekezo ni batili..... FaizaFoxy ....
 
H
Hiyo sheria nzuri ilimfaa huyu kafiri wa kiisiharamu FaizaFoxy
 
Kwa Nini hao wake wa Mtume wongee nyuma ya pazia !?? Si waongee tu ana Kwa ana na hao wanaume kama sio tatizo!??
 
Weka Tangazo la Taliban na sii la huyo khan
 
Kwa Nini hao wake wa Mtume wongee nyuma ya pazia !?? Si waongee tu ana Kwa ana na hao wanaume kama sio tatizo!??
Wakeze Mtume Muhammada (s.a.w) ni mama zetu kwa waumini wote wa kiislamu

Huenda kwa heshima hiyo wakafanya hayo waliyofanya,huenda kuna sababu nyingine iliyopelekea hayo
 
Wakeze Mtume Muhammada (s.a.w) ni mama zetu kwa waumini wote wa kiislamu

Huenda kwa heshima hiyo wakafanya hayo waliyofanya,huenda kuna sababu nyingine iliyopelekea hayo
Kwa nini utumie lugha za kudhani...na kitabu mnasema kinajitosheleza !?? Hivyo Quran haina sababu Kwa nini walikuwa wanaongea nyuma ya pazia!?? Quran wanayotumia Taleban ni hiihii au kuna nyingine isemayo mwanamke hatakiwi kuongea na mwanamke mwenzake zaidi ya Mume!??
 
Awa wahuni watapigwa tu wasubiri Trump arudi

View:
 
Huyu jamaa unamfahamu? katinga nini miguuni hapa:
Ukimfahamu wewe inatosha............lile jiwe la kimondo pale makkah vipi unalifahamu.......maana kuna kobazi pia na fimbo mle sasa sijui vina maana gani?? Dini ya kulazimishwa mara usiongee mara ujizibe mwili mzima hata kama unasikia joto ila ninyi bana.......kule maka wenyewe na vimini wanatinga lakini ninyi ooh untanitoa udhu .......hapo upo kwenye dala dala umeshika bomba...........na kuna wale wengine wewe kukojoa kama punda chuchumaa .........mpumbavu nini kwangu anayechuchumaa ni wa kike tu ..........choo cha kulipia masharti kibao wakati ulipopanga choo kiko dirisha la jirani kalibia mtaa wa pili sasa sijui pia huko huwa mnaweka masharti pia πŸ˜„ πŸ˜€ 😊
 
Safi kabisa.Umbea ukome.
 
Hilo lisikupe haka, siyo za jamaa huyo kwenye picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…