nami naomba nimuulize hapaMashallah, huku ilitakiwa tumpeleke FaizaFoxy 😌
FaizaFoxy, ukiambiwa uende Canada au Afghanistan utachagua wapi? jibu C or A usilete porojo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nami naomba nimuulize hapaMashallah, huku ilitakiwa tumpeleke FaizaFoxy 😌
Huyu jamaa unamfahamu? katinga nini miguuni hapa:Ila kobazi majinga kweli sasa kama hajaolewa hatakuwa anaongea na nani?? Si mdomo utanuka sana..........kumfanya mtu asiongee kama yuko jera.....wakati yuko huru.............hapa bora marekani asingeondoka ...........bora angebaki awe anawabandua tu hawa mahustazati wa kiafghani
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.
Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.
View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19

HUYO SI MVUTA BANGE WA MAREKANI NANI ASIYE MJUA HUYO MUHUNIHuyu jamaa unamfahamu? katinga nini miguuni hapa:
Safi sana.
Kwa Nini hao wake wa Mtume wongee nyuma ya pazia !?? Si waongee tu ana Kwa ana na hao wanaume kama sio tatizo!??Hao talibani kuna mambo wanafanya ambayo sio katika sheria za kiislamu kabisa au kinyume na uislamu,kama mtu anauona uislamu kupitia talibani hakika hatapata uislamu sahihi,hao asilimia kubwa mambo yao kama wanaharakati
Uislamu haujakataza wanawake kuongea na wanawake wenzao na wala si sunna ya Mtume wala maagizo ya Allah. Wake za Mtume tu walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia katika kuwaelekeza mambo fulani fulani ya dini,kama hiyo haikuruhusiwa je ilikuwaje wakeze wakafanya hivyo?
Kuhusu wanaume kunyoa nywele au ndefu wanaruhusiwa sana,ila si katika uislamu sijui kunyoa kiduku na stahili za ajabu ajabu,kama unaondoa nywele zote basi ondoa na kama unanyoa kawaida basi nyoa kwa heshima
Kuhusu kufuga ndevu hiyo ni sunna sio lazima kwa wanaume kufuga ndevu,ingawa ni bora kufuata sunna ya Mtume,binafsi nanyoa ndefu,sio agizo la lazima la dini
Kuhusu wanawake kwenda saluni,wanawake wanatakiwa kujipamba kwa ajili ya waume zao,wapendeze na wanoge,ila naona kuna namna labda hizo saluni zimeonekana ni sehemu ambazo kuna ajenda nyingine zinafanyika
Kuhusu wanawake kuongea kwenye redio au television,kwa mfano katika tv yapaswa mwanamke ajistiri anapokuwa hewani na si kuwa uchi kwa mujibu wa uislamu,kuhusu kuongea kwenye redio,hiyo hata huku Tanzania kuna redio moja Redio imani nayo kipindi fulani fulani walikataza lakini wakapewa hoja mbona wake za Mtume Muhammad (s.a.w) walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia,kwahiyo hapo hoja nzito ilipatikana
Kwahiyo si kila linalo fanywa na hivi vikundi vyenye misimamo mikali ni uislamu bali mengine ni taratibu zao binafsi
Asante
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.
Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.
View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19
Wakeze Mtume Muhammada (s.a.w) ni mama zetu kwa waumini wote wa kiislamuKwa Nini hao wake wa Mtume wongee nyuma ya pazia !?? Si waongee tu ana Kwa ana na hao wanaume kama sio tatizo!??
Kwa nini utumie lugha za kudhani...na kitabu mnasema kinajitosheleza !?? Hivyo Quran haina sababu Kwa nini walikuwa wanaongea nyuma ya pazia!?? Quran wanayotumia Taleban ni hiihii au kuna nyingine isemayo mwanamke hatakiwi kuongea na mwanamke mwenzake zaidi ya Mume!??Wakeze Mtume Muhammada (s.a.w) ni mama zetu kwa waumini wote wa kiislamu
Huenda kwa heshima hiyo wakafanya hayo waliyofanya,huenda kuna sababu nyingine iliyopelekea hayo
Duh inaonyesha hata biblia hausomiIli uwe mwisalmu kamili inatakiwa uwehuke kwanza...
Haiingii akili eti mwanaume usinyoe ndevu ...si uchafu huo
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.
Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.
View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19%5B/
Ukimfahamu wewe inatosha............lile jiwe la kimondo pale makkah vipi unalifahamu.......maana kuna kobazi pia na fimbo mle sasa sijui vina maana gani?? Dini ya kulazimishwa mara usiongee mara ujizibe mwili mzima hata kama unasikia joto ila ninyi bana.......kule maka wenyewe na vimini wanatinga lakini ninyi ooh untanitoa udhu .......hapo upo kwenye dala dala umeshika bomba...........na kuna wale wengine wewe kukojoa kama punda chuchumaa .........mpumbavu nini kwangu anayechuchumaa ni wa kike tu ..........choo cha kulipia masharti kibao wakati ulipopanga choo kiko dirisha la jirani kalibia mtaa wa pili sasa sijui pia huko huwa mnaweka masharti pia 😄 😀 😊Huyu jamaa unamfahamu? katinga nini miguuni hapa:
Na hakuna story za maana twaongeaSafi sana, wanawake umbea mwingi na majungu na kushikana masikio,
Mwanamke azungumze na mumewe, naam! maa shaa Allah
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.
Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.
View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19
Hilo lisikupe haka, siyo za jamaa huyo kwenye picha?Ukimfahamu wewe inatosha............lile jiwe la kimondo pale makkah vipi unalifahamu.......maana kuna kobazi pia na fimbo mle sasa sijui vina maana gani?? Dini ya kulazimishwa mara usiongee mara ujizibe mwili mzima hata kama unasikia joto ila ninyi bana.......kule maka wenyewe na vimini wanatinga lakini ninyi ooh untanitoa udhu .......hapo upo kwenye dala dala umeshika bomba...........na kuna wale wengine wewe kukojoa kama punda chuchumaa .........mpumbavu nini kwangu anayechuchumaa ni wa kike tu ..........choo cha kulipia masharti kibao wakati ulipopanga choo kiko dirisha la jirani kalibia mtaa wa pili sasa sijui pia huko huwa mnaweka masharti pia 😄 😀 😊
Kondoo na wale ambao kila mwanamme anaeingia kwao anaambiwa "mwamkie babako", hawawezi kukuelewa.Safi kabisa.Umbea ukome.