Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

Nani halipi kodi nchi hii ww mfuata Mkumbo? Hizo bidhaa na huduma mlizojaza makodi inakuwaje? Ama hujui unaloongea?
Kaakaa!! watu wenye uhakika wa kulipa kodi ya kipato ni waajiliwa tu. Wafanyabiashara wanakwepa kodi, unanunua hupewi risiti unauza hutoi risiti. Unaweza kupewa risiti yenye malipo pungufu au feki.
 
Kaakaa!! watu wenye uhakika wa kulipa kodi ya kipato ni waajiliwa tu. Wafanyabiashara wanakwepa kodi, unanunua hupewi risiti unauza hutoi risiti. Unaweza kupewa risiti yenye malipo pungufu au feki.
Bidhaa zote unazonunua zimewekewa Kodi mkuu.
 
Kaakaa!! watu wenye uhakika wa kulipa kodi ya kipato ni waajiliwa tu. Wafanyabiashara wanakwepa kodi, unanunua hupewi risiti unauza hutoi risiti. Unaweza kupewa risiti yenye malipo pungufu au feki.
Kuliko ulipe zikatumike hovyo, kama unaweza kukwepa kulipa bora usilipe hiyo direct Tax.
 
Nani halipi kodi nchi hii ww mfuata Mkumbo? Hizo bidhaa na huduma mlizojaza makodi inakuwaje? Ama hujui unaloongea?
Hata hivyo nimekutaka uniambie ni nchi gani Afrika ambazo vyama vya siasa vilivyokuwa vya upinzani vilivyopata nafasi ya kuwa vyama tawala vimebadilisha upepo mbaya uliokuwa nchini ya vile vyama vya ukombozi. Kule Zambia Chiluba na chama chake walimpiga chini tena, kule Malawi ndiyo usiseme, kule Kenya hawamtaki hasla mwenzao Kasongo aliyewahadaa kupata Urais. Libya, Somalia, Sudani au wapi?
 
Sisomi uzi wako nimetosha kuona title tu! Sasa basi wewe ni mbwa
 
Tatizo sio vyama tatizo ni sera za vyama vyote
Vyama vyote sera yao ni Moja yaani uwekezaji kwaajili ya maendeleo ya watu./capitalism policy

Hii sera ni mbaya mbovu hata aje chama Gani wananchi hawewezi kupata maendeleo kwa kuwatumia wawekezaji.
 

NIKWELI VYAMA VYA AFRIKA HAVINA TOFAUTI SANA VIWE VYA UPINZANI AU TAWALA LAKINI.....
BINAFSI NAFIKIRI, KUWA CHAMA IMARA CHA UPINZANI HATA KAMA HAKISHIKI MADARAKA INA FAIDA SANA.
VIONGOZI WENGI WA KIAFRIKA WAKISHATEULIWA AU KUSHIKA MADARAKA, HUJISAHAU NA KUISHIA KUJILIMBIKIZIA MALI KAMA VILE WATAISHI MILELE (Mabutu nk), HASA PASIPO KUWEPO NA CHAMA CHA KUWASUKUMA...
 
Kubadili au kutokubadili is not an issue kwani kama nchi imeamua multiparty system basi pawepo transparency ili wananchi wenyewe wachague kwa uhuru chama wanachoamini ndiyo kinafaa kuwaongoza.
 
Sisomi uzi wako nimetosha kuona title tu! Sasa basi wewe ni mbwa
Yani hiyo ndiyo inatosha wewe kupewa nchi hii uiongoze?. Nyerere kubariki katiba kama hii ya 1977 alikuwa na akili nyingi sana. Uchaguzi wa 1995 aliwaita wapinzani "....the dogs" akimaanisha kwelikweli kuwa ni waongo na walaghai hawana kitu cha kufanya pale Ikulu
 
Fact kabisa ila tegemea viriba tumbo na wavimba macho baadhi wa JF watakuja kukukosoa kwa majibu yao yasiyo na uthibitisho tena leo huwenda kulwa na doto wote wakaungana kukushambulia.

You deserve to be called a Great Thiner
 
Kama kwa mbali unaanza kuona baadhi ya vitabia vya hovyo walivyonavyo CCM na wapinzani nao wanavyo.

Basi unaweza kuthibitisha kabisa hata hawa nao wakiingia ikulu watafanya upuuzi wa CCM.

Kazi inabaki kwetu, tuwape ili kuwajaribisha?!

Kama unaona wanakosea lakini hawawezi kunyoosheana vidole waonyane, wao ni kuteteana tu kwa nguvu zote!.

Hivi kweli hawa nao wakipewa hii nchi watakuwa na tofauti gani na CCM wanaolea na kulinda mafisadi!

Siasa za hii nchi bado zina utoto mwingi sana, zimekaa kishabiki kama Simba na Yanga.
 
Wewe nitajie nchi ambayo chama cha upinzani kimeshika kwa njia ya kura, kisha nchi hiyo ikawa masikini zaidi. Watu wanataka mabadiliko ya kiutawala, maendeleo watajiletea wenyewe.
 
Huko Gambia fedha za ufisadi zimerudishwa! Muda utaongea!
 
Wewe nitajie nchi ambayo chama cha upinzani kimeshika kwa njia ya kura, kisha nchi hiyo ikawa masikini zaidi. Watu wanataka mabadiliko ya kiutawala, maendeleo watajiletea wenyewe.
anatupanga mbwa huyu we mfurumishie matusi tu wala usimbeleze
 
yaani mtu atumie hela zenu za mikopo na kodi zenu ndo mje mwite maendeleo,,,
mnahesabiwa shule, hospitali, madaraja na lami ila vitabu vya mahesabu mizani imeinama..
Afrika kuna madalali hakuna viongozi...
 
Huyo adui mchongameno ashasema na huwa tunasema kila siku ,Afrika ina tatizo la ujinga ,umaskini na tamaa na ubaya hivi vitu vinaendana kuanzia umaskini ,ujinga mpaka tamaa viongozi wajinga wananchi wajinga ,viongozi maskini wanategemea kujitajirisha kwa rasilimali za nchi + tamaa ya kutaka ukoo mzima uwe tajiri kwa miaka hata buku.

Kwa bongo mwendazake kidogo alijitahidi japokuwa ana madhaifu yake ila kwangu ni best kwenye swala zima la kulinda rasilimali za nchi na kuleta maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…