Unajibu nilichokuuliza ama unaserebuka tu? Mnyika alisema shilingi ngapi za wazungu karudisha na lini? Pia nimekuambia nitajie cdm wanapata shilingi ngapi toka kwa wazungu, kisha nikupe figure halisi nchi inayopokea toka kwa wazungu, kisha tulinganishe nani ni mfaidika halisi wa pesa za wazungu. Huna lolote unalojibu zaidi ya kuleta porojo zisizo na kichwa wala miguu.Mnyika alitangaza hadharani kuwa amerudisha fedha za wazungu ambazo hazikutumika, zimekosa activity. Nchi ni yetu tunaelimishana tu huma usiwe too much defensive, inawezekakana wewe na mimi hakuna anaepata hata sh 1 ya CCM wala chadema. Tuongee facts. Mimi sina ugomvi binafsi na chadema, ni madau tu wa ukweli, amani na utulivu baasi. Hata yule Mzee Lwaitama ni mwalimu wangu wa communication skills pale chuoni kwake, nampenda sana, ni rafiki yangu.
Kusema wanapata sh ngapi uongo siwezi kufanya hivyo, chadema ndio haswa wanajua figure kamili. Hata hivyo tunachoweza kusema ni kwamba wazungu wanagharamia operations mbalimbali na mikutano, mafunzo mbalimbali, safari, vifaa, uniforms, matibabu, usafiri na posho mbalimbali za cdm. Wazungu wametoa hadhi ya ukimbizi pamoja na mafao ya ukimbizi kwa baadhi ya viongozi muhimu wa chadema na familia zao.Unajibu nilichokuuliza ama unaserebuka tu? Mnyika alisema shilingi ngapi za wazungu karudisha na lini? Pia nimekuambia nitajie cdm wanapata shilingi ngapi toka kwa wazungu, kisha nikupe figure halisi nchi inayopokea toka kwa wazungu, kisha tulinganishe nani ni mfaidika halisi wa pesa za wazungu. Huna lolote unalojibu zaidi ya kuleta porojo zisizo na kichwa wala miguu.
Ni hivi, huku jukwaani sio kule kwa wajinga mnaowahutubia bila kuhoji lolote. Nasisitiza kama hoja imekushinda kaa kimya boss.
indicator ya uchumi wa Kenya kuwa mzuri kuliko Tz ni ipi?Lini zilikuwa matajiri hizo nchi ili tupime umasikini wao baada ya wapinzani kuingia madarakani? Kenya hapo KANU iko kaburini, na uchumi wa Kenya ni mzuri kuliko wa sisi tunaotawaliwa na ccm kwa shuruti.
Yaani wewe unamtaka mbweha aje awe jaji kwenye kesi ya kondoo. Narudia tena, wajumbe wa EU ni wajumbe walewale walioketi kwenye Berlin Conference mwaka 1984 kujadili namna ya kuligawana bara la Africa na tz tukaangukia mikononi mwa Ujerumani na baadae Uingereza. Pili, hawa EU tayari walishachagua upande wao wa kuushabikia kwenye mzozo, huwezi kuleta mjumbe kutoka huko kuunda hiyo tume huru ya kimataifa ya kipuuzi inayoongelewa. Yaani wewe umekata kidole mtu ambae hana hatia aliyetimiza haki yake ya kupiga kura ukiadhibiwa kwa kosa hilo unahitaji tume ya kimataifa ya nini kama sio ugoro huo? Kwani iwe haki kwako kumkata mtu kidole na kumchomea mwendokasi wake anaotumia kwenda safari zake. Kuwaua ilikuwa hakuna mjadala kama kwa kufanya hivyo kungesaidia kupunguza idadi ya watu ambao wangekatwa vidole vyao bila sababu. Maumivu ya kukatwa kidole bila ganzi na kuachwa hai ni makali kuliko kupigwa risasi na kufa hapohapo. Mtu anaekata watu vidole hovyo wanini kuishi nae mitaani?Ww ni bendera fuata upepo, nina uhakika huna ujualo. Unaweza ukasema ni shilingi ngapi cdm wanapatiwa na hizo nchi za magharibi, na ni kiasi gani nchi inapata toka kwa hizo nchi za magharibi ili tupime nani ni mfaidika halisi wa hizo hela za wazungu? Walipendekezwa sio hao wa Ulaya tu, bali ni Jumuiya ya AU na SADC, ama nao hawa wana maslahi na cdm?
Hao China sijui North Korea unaotaka wawe kwenye hiyo tume, wana sifa za diplomasia, ama ni kuwachukua tu? Ni sawa na leo ukatafute coach wa team ya mpira wa miguu toka China ama Korea kaskazini, utakuwa na akili timamu kweli? Kama umeishiwa na hoja piga kimya.
Ninapokuambia ww ni bendera fuata upepo ninajua nisemacho. Hujui kiwango wanachopewa cdm na wazungu, lakini unarukia wanapewa pesa nyingi! Hadi sasa hao wazungu wanakosa nini kwenye nchi hii hadi wasubiri cdm ndio wawape? Katazame mikataba ya raslimali zetu nyingi yenye mikataba mibovu, ni chama kipi kimeingia hiyo mikataba kisha uje uanike ujuha wako hapa.Kusema wanapata sh ngapi uongo siwezi kufanya hivyo, chadema ndio haswa wanajua figure kamili. Hata hivyo tunachoweza kusema ni kwamba wazungu wanagharamia operations mbalimbali na mikutano, mafunzo mbalimbali, safari, vifaa, uniforms, matibabu, usafiri na posho mbalimbali za cdm. Wazungu wametoa hadhi ya ukimbizi pamoja na mafao ya ukimbizi kwa baadhi ya viongozi muhimu wa chadema na familia zao.
Wazungu wanawekeza kwa cdm wakitarajia kuvuna siku moja matunda ya uwekezaji wao. Walishasema wao hawana free lunch at all. Kwani unadhani cdm watawalipa nini hawa jamaa kama sio hisani kwenye vipaumbele vya uwekezaji kwenye rasilimali zetu?. Mzungu hana cha burebure aloo!!
Ni nyingi kwakweli lakini bahati aloo sijui ni kiasi gani, nisamehe kwa hilo.
Hadi sasa serekali inapokea misaada kutoka kwa hao wazungu, na kuna miradi mingi tu imetolewa na hao wazungu. Zunguka nchi hii utaona miradi kibao kwa hisani ya watu wa Marekani nk. Sasa unaposema sijui wazungu hao Mkutano wa Belin unamaanisha nini? Au hao wazungu wanaanza ubaya wao hapa nchini katika wakati gani hasa?Yaani wewe unamtaka mbweha aje awe jaji kwenye kesi ya kondoo. Narudia tena, wajumbe wa EU ni wajumbe walewale walioketi kwenye Berlin Conference mwaka 1984 kujadili namna ya kuligawana bara la Africa na tz tukaangukia mikononi mwa Ujerumani na baadae Uingereza. Pili, hawa EU tayari walishachagua upande wao wa kuushabikia kwenye mzozo, huwezi kuleta mjumbe kutoka huko kuunda hiyo tume huru ya kimataifa ya kipuuzi inayoongelewa. Yaani wewe umekata kidole mtu ambae hana hatia aliyetimiza haki yake ya kupiga kura ukiadhibiwa kwa kosa hilo unahitaji tume ya kimataifa ya nini kama sio ugoro huo? Kwani iwe haki kwako kumkata mtu kidole na kumchomea mwendokasi wake anaotumia kwenda safari zake. Kuwaua ilikuwa hakuna mjadala kama kwa kufanya hivyo kungesaidia kupunguza idadi ya watu ambao wangekatwa vidole vyao bila sababu. Maumivu ya kukatwa kidole bila ganzi na kuachwa hai ni makali kuliko kupigwa risasi na kufa hapohapo. Mtu anaekata watu vidole hovyo wanini kuishi nae mitaani?
Unashangaza, hata kama unapewa hela 10 na wazungu hiyo ni hela ya wapiga kura wao, ni yao. Hoja yako ingekuwa na mashiko kama ungesema hampokei hata senti tano kutoka kwao. Hii ya tunapokea sh ngapi is nonsense. Malipo ni malipo hata kama ni dinali moja tu.Ninapokuambia ww ni bendera fuata upepo ninajua nisemacho. Hujui kiwango wanachopewa cdm na wazungu, lakini unarukia wanapewa pesa nyingi! Hadi sasa hao wazungu wanakosa nini kwenye nchi hii hadi wasubiri cdm ndio wawape? Katazame mikataba ya raslimali zetu nyingi yenye mikataba mibovu, ni chama kipi kimeingia hiyo mikataba kisha uje uanike ujuha wako hapa.
Nimekuuliza, serekali inapokea kiasi gani toka kwa wazungu, hadi utake nione cdm wakipokea ni makosa?Huna majibu, sababu we ni bendera fuata upepo. Ni taasisi ngapi hapa nchini kuanzia NGO's taasisi za kidini nk zinapokea hela za wazungu? Sioni kama una maelezo ya maana, bali unataka kuniletea propaganda mfu kuwa cdm wanapokea hela za wazungu, niambie ubaya wa cdm kupokea hizo hela za wazungu, lakini hizo taasisi nyingine zote ikiwemo na serekali iwe sawa?Unashangaza, hata kama unapewa hela 10 na wazungu hiyo ni hela ya wapiga kura wao, ni yao. Hoja yako ingekuwa na mashiko kama ungesema hampokei hata senti tano kutoka kwao. Hii ya tunapokea sh ngapi is nonsense. Malipo ni malipo hata kama ni dinali moja tu.
Nikupe mfano mmoja halisi wa pesa za wazungu. Kule mkoani Kilimanjaro kwenye hospitali ya KCMC kuna kitengo kimoja kilipatiwa $10b, hiyo ni hela ambaya cdm hawajawahi kupewa na mzungu yoyote, na hawatakaa wapewe. Je hiyo hospitali itawalipa nini hao wazungu, ili iendane na huu ubendera fuata upepo wako wa no free lunch? Huo ni mfano mmoja halisi, ili ujue ww ni bendera fuata upepo.Unashangaza, hata kama unapewa hela 10 na wazungu hiyo ni hela ya wapiga kura wao, ni yao. Hoja yako ingekuwa na mashiko kama ungesema hampokei hata senti tano kutoka kwao. Hii ya tunapokea sh ngapi is nonsense. Malipo ni malipo hata kama ni dinali moja tu.
Tofauti ya CCM na cdm ni kuwa CCM haifungamani na upande wowote, chadema inafungamana na Magharibi tu baasi, wakoloni wetu wa zamani. Sera ya kutofungamana na upande wowote inakupa ujasiri wa kusema YES au NO any side whenever necessary at any time T. Ukifungamana na upande mmoja wanatakutaka adui yao awe adui yako pia. You ca not say NO to their demands and requests. Hatari ya chadema kwetu ipo hapo. Hawana rafiki upande wa Mashariki wala Asia, wao wamechagua upande wa Ushoga tu.Nimekuuliza, serekali inapokea kiasi gani toka kwa wazungu, hadi utake nione cdm wakipokea ni makosa?Huna majibu, sababu we ni bendera fuata upepo. Ni taasisi ngapi hapa nchini kuanzia NGO's taasisi za kidini nk zinapokea hela za wazungu? Sioni kama una maelezo ya maana, bali unataka kuniletea propaganda mfu kuwa cdm wanapokea hela za wazungu, niambie ubaya wa cdm kupokea hizo hela za wazungu, lakini hizo taasisi nyingine zote ikiwemo na serekali iwe sawa?
Tulia we dogo, huna unaliongea zaidi ya utoto.Tofauti ya CCM na cdm ni kuwa CCM haifungamani na upande wowote, chadema inafungamana na Magharibi tu baasi, wakoloni wetu wa zamani. Sera ya kutofungamana na upande wowote inakupa ujasiri wa kusema YES au NO any side whenever necessary at any time T. Ukifungamana na upande mmoja wanatakutaka adui yao awe adui yako pia. You ca not say NO to their demands and requests. Hatari ya chadema kwetu ipo hapo. Hawana rafiki upande wa Mashariki wala Asia, wao wamechagua upande wa Ushoga tu.
CCM inapokea pia hela ya wazungu lakini ina jeuri ya kuwaambia kwendeni zenu, Kenya na chadema hawana jeuri hiyo.
Hujui vitu vingi sana aisei kuhusu wazungu wa Magaribi.Nikupe mfano mmoja halisi wa pesa za wazungu. Kule mkoani Kilimanjaro kwenye hospitali ya KCMC kuna kitengo kimoja kilipatiwa $10b, hiyo ni hela ambaya cdm hawajawahi kupewa na mzungu yoyote, na hawatakaa wapewe. Je hiyo hospitali itawalipa nini hao wazungu, ili iendane na huu ubendera fuata upepo wako wa no free lunch? Huo ni mfano mmoja halisi, ili ujue ww ni bendera fuata upepo.
Huna jipya ww, hiyo hospitali itawapa nini hao wazungu waliowapa hiyo $10b? Naona unaniletea porojo za kizamani. Hizo story kawaambie Wakulima huko vijijini wasiojua lolote, sio huku kwenye watu waelewa wa mambo.Hujui vitu vingi sana aisei kuhusu wazungu wa Magaribi.
Kanisa ni sehemu madhubuti ya ukoloni, wakoloni na makoloni. Hawa ni chanda na pete. Wakati wa ukoloni kanisa na wakoloni walikuwa wanaishi mtaa mmoja, kusali na kunywa pamoja; ni undugu wa ki symbiotic; You scratch my back I scratch yours. Namna wakoloni walivyoyatafuta makoloni na kuyapata huwezi kuliweka kando kanisa.
Haikutokea hata siku moja limewahi kuwaambia wakoloni acheni kupora mali za waafrika, acheni kuwaua, acheni kuwanyonya, acheni kuwabagua.
Makanisa yanayo miradi mikubwa na mingi kwenye makoloni ambayo sehemu ya faida inaenda ulaya. Hebu acha nikomee hapa kwa sasa....
KWanza huna ushahidi wa hizo dola 10b, pili pesa inaweza kuwekwa hospitali lakini matumizi yake sio ya hospitali. Hizi ndio njia zao za kufanisha mambo yao kupitia taasisi zao za kidini. Kwani wewe unadhani KCMC ni taasisi na yani?Huna jipya ww, hiyo hospitali itawapa nini hao wazungu waliowapa hiyo $10b? Naona unaniletea porojo za kizamani. Hizo story kawaambie Wakulima huko vijijini wasiojua lolote, sio huku kwenye watu waelewa wa mambo.
Sina uhakika wakati nimepata kazi ya ujenzi kwenye hiyo taasisi, ama unadhani nakuambia maneno ya kuokota mtaani. Mambo yao yapi, maana kama matibabu ni ya kwetu sisi watanzania, na hiyo muondombinu ipo hata sasa ukitaka nenda utaona kitengo cha saratani, na mitambo ipo. Acha siasa za kizee, unaendekeza propaganda mfu hadi umekuwa mjinga.KWanza huna ushahidi wa hizo dola 10b, pili pesa inaweza kuwekwa hospitali lakini matumizi yake sio ya hospitali. Hizi ndio njia zao za kufanisha mambo yao kupitia taasisi zao za kidini. Kwani wewe unadhani KCMC ni taasisi na yani?
Na huu ndo unafki wa waafrika kwao ni sawa serikali kupewa misaada na wazungu ila ni kosa kubwa kwa wapinzani kupewa fedha ambazo hata yeye hajui figure zakeNimekuuliza, serekali inapokea kiasi gani toka kwa wazungu, hadi utake nione cdm wakipokea ni makosa?Huna majibu, sababu we ni bendera fuata upepo. Ni taasisi ngapi hapa nchini kuanzia NGO's taasisi za kidini nk zinapokea hela za wazungu? Sioni kama una maelezo ya maana, bali unataka kuniletea propaganda mfu kuwa cdm wanapokea hela za wazungu, niambie ubaya wa cdm kupokea hizo hela za wazungu, lakini hizo taasisi nyingine zote ikiwemo na serekali iwe sawa?
Serikali ikipewa fedha na wazungu zinatumika kununulia chanjo za watoto, kuchonga madawati na kuongeza mataluma ya reli ya SGR lot 5, lakini chadema wakipewa wananunua PRADO za matanusi, kulipana posho za kujikimu, kulipa wafanya vurugu na kuwanunulia mafuta ya kuchomea miundombinu ya umma. chadema kwa fedha hizo hawajawahi kuchimba hata tundu moja la choo cha wanafunzi. Wanapewa fedha na wazungu ambazo hazifiki kwa wananchi.Na huu ndo unafki wa waafrika kwao ni sawa serikali kupewa misaada na wazungu ila ni kosa kubwa kwa wapinzani kupewa fedha ambazo hata yeye hajui figure zake
Tunakizazi cha kinafki sana
Mtu anakuambia wapinzani hawafai minakubali ila sehemu napokaa unakaa week mbili hakuna maji ya bomba ukiuliza unaambiwa wapinzani hawafai Afrika tunasafari ndefu sana
Ukipita kuna miradi mingi imeandikwa ni kwa msaada wa watu wa marekani lakini mwamba anataka kukubishia
Kudhalilika huko vipi? wote mmeshindwa kuleta orodha ya vyama vya upinzani vilivyoleta nafuu kwenye nchi zao baada ya kushinda uchaguzi wao. Vyama vya upinzani haviongezi thamani ya wananchi kutoka pale walipokuwa kwenye vyama vya ukombozi. Wakifika Ikulu wachukulia kama wamepata ajira, na wanajiandaa kushindwa uchaguzi. Maandalizi ambayo wanayafanya kwa kutuibia sana ili wakishindwa waondoke na kitu.Mleta mada umeshajidhalilisha vya kutosha,hata mbio wakati mwingine ni ushindi!
Chadema ni sh ngapi wanapewa na wazunguSerikali ikipewa fedha na wazungu zinatumika kununulia chanjo za watoto, kuchonga madawati na kuongeza mataluma ya reli ya SGR lot 5, lakini chadema wakipewa wananunua PRADO za matanusi, kulipana posho za kujikimu, kulipa wafanya vurugu na kuwanunulia mafuta ya kuchomea miundombinu ya umma. chadema kwa fedha hizo hawajawahi kuchimba hata tundu moja la choo cha wanafunzi. Wanapewa fedha na wazungu ambazo hazifiki kwa wananchi.