Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
Pole yake ila ukishaanza kupata vyeo serikalini, jiepushe na siasa za kupinga serikali. Watakukata tu, chagua siasa au cheo.
Wewe si ndiyo ulikuwa unaunga kila kitu humu?!. Na hili unga tu uzao wa nyoka.Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
Hilo ni zuio la kujiua baada ya kupokea barua ya kuachishwa kazi😂😂😂Yalivo majinga yamemuwekea ujumbe wa Sensa🤣 ,ajiandae kuhesabiwa Nini Sasa ?
Atapigwa risasi papo hapo na mwili wake kuchomwa mishikakiTuko gizani sana, nahisi siku ikitokea mtu akachana hotuba ya raisi anaweza akapigwa shaba on the spot. Refer to what Pelosi did to Donald Trump 😂😂😂
Kumkosoa muheshimiwa raisi kistaha siyo kosa!Ila nadhani meneja alitukana viongozi matusi mazito ya nguoni tena bila staha,Mama ameamua kumparura😬
Kwa jicho la mbali naona hata akikata rufaa hashindi.
Hili ni tatizo la kiutamaduni ni big problem. utamaduni wetu ni wa kijinga katika suala ukosoaji tuko ziro eti mkubwa hakosei na hakosolewi, ni upumbavu tu. Ili nchi isonge mbele watoto wafundishwe kuwa kukosoa wakubwa ni sahihi na wakubwa kuomba msamaha wadogo wanapowakosea ndio modern civilization!
Jamaa kaonewa ana haki ya kukata rufaa maana kuna haki za binadamu "freedom of speech" zifuatwe tumesaini wenyewe UN!
1. Nani alikuambia raia wa south Korea hawana Uhuru ?
2. Nani alikuambia raia wa Russia hawana Uhuru ?
3. Nani alikuambia raia wa China hawana Uhuru ?
Tunataka kupitiliza hata zile zama za Yuda jiwe.Mbona tunarudi tuliko toka kwa kasi ya Mwanga?.
Hata ukiwekeza kwa kujenga kiwanda, shule, hoteli, hospitali, ama kuanzisha kampuni. Ukiikosoa ccm utaijua kwann Ina rangi ya kijani.Pole yake ila ukishaanza kupata vyeo serikalini, jiepushe na siasa za kupinga serikali. Watakukata tu, chagua siasa au cheo.
Na ndiyo huwa kinafanyika. Tunachomana wenyewe kwa wenyeweUtakuta kuna mtu ali screenshot alichoandika akatuma management.
Hawezi mkuu. Mahakama zetu zinapokea maagizo yoka juuhatari sana hii tunaelekea wapi wapi Tanzania, akikomaa na kupata mwanasheria mzuri anaweza kuchomoka
Mchawi mtu kaka, paka anatumwa tuUtakuta kuna mtu ali screenshot alichoandika akatuma management.
🤣🤣🤣🤣Kuna siku job kweny group la kitengo chetu . Kuna jamaa alikuwa ni msiri yaani ishu zake hataki mtu ajue yeyote Yule mi namfahamu coz tuliscore chuo pamoja na pia tumepanga mtaa mmoja...Basi tulikuwa tunataniana fanya "uoe " jamaa yeye ni bachelor ila ana demu wake wanapendana tu ...Sasa utani yeye akasema "kashaoa"Hili ni funzo, nakumbuka kuna mtu aliwahi nichomea nikiwa std 4 kwa ishu ambayo ilikuwa very personal. Siku hio nilipewa adhabu nikawa nimepiga goti nje.
Out of the blue kuna classmate alifungua bag yangu kimya kimya kulikuwa kuna daftari moja la rough, nilikuwa mchoraji mahiri sana nikiwa yanki sasa akawa anatafuta daftari nalochoreaga. Ndani kulikuwa na picha za magari na watu, katuni akawa anaangalia ila kuna page moja ilikuwa ina conversation ya ajabu. Hio siku nilihisi ganzi, maana sikuelewa kisa kilianziaje mpaka kesi ikafikia nahitwa kwa head master.
Kuna siku moja home niko na bro yangu mmoja alikuwa ananifundishaga hesabu. Siku sina mood tukaingia kwenye matani tukaanza kujibizana kwa kuandika. Utani utani ukaenda kwenye matusi kibao.Ile kurasa ikawemo kwenye hilo daftari na ndio kitu kiliniletea hio kesi.
Kwa mara ya kwanza naambiwa peleka mzazi shuleni.
Wapi tulikotoka?Mbona tunarudi tuliko toka kwa kasi ya Mwanga?.