Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Utakuta wala amri haikutoka juu.
Utakuta ni watu tu wasiojiamini na wanachofanya na kutegemea kupata mileage kisiasa kwa maamuzi kama haya au watu wanaodhani bado tuko kwenye enzi zileee za kuabudu watu....
 
Kumkosoa muheshimiwa raisi kistaha siyo kosa!Ila nadhani meneja alitukana viongozi matusi mazito ya nguoni tena bila staha,Mama ameamua kumparura😬

Kwa jicho la mbali naona hata akikata rufaa hashindi.

Acha mambo ya kudhania. Kama katukana Kuna sheria ya mtandao haiuhusiani na ajira na kazi. Ni ujinga na uoga was wafanyakazi wetu. Ndio maana serikali imewaongezea shilingi elfu 8000 maana ndio wanachostahili.
 
Uko sahihi
Hili ni tatizo la kiutamaduni ni big problem. utamaduni wetu ni wa kijinga katika suala ukosoaji tuko ziro eti mkubwa hakosei na hakosolewi, ni upumbavu tu. Ili nchi isonge mbele watoto wafundishwe kuwa kukosoa wakubwa ni sahihi na wakubwa kuomba msamaha wadogo wanapowakosea ndio modern civilization!

Jamaa kaonewa ana haki ya kukata rufaa maana kuna haki za binadamu "freedom of speech" zifuatwe tumesaini wenyewe UN!
 
Raia wa Russia na China hawana tofauti na Wabongo, "not free to that extent"
1. Nani alikuambia raia wa south Korea hawana Uhuru ?

2. Nani alikuambia raia wa Russia hawana Uhuru ?

3. Nani alikuambia raia wa China hawana Uhuru ?
 
Ingekuwa ni taasisi yenye wasomi, wangemuita na kumuonya. Of course ukiwa serikalini or quasi government kuna donts na dos
 
Pole yake ila ukishaanza kupata vyeo serikalini, jiepushe na siasa za kupinga serikali. Watakukata tu, chagua siasa au cheo.
Hata ukiwekeza kwa kujenga kiwanda, shule, hoteli, hospitali, ama kuanzisha kampuni. Ukiikosoa ccm utaijua kwann Ina rangi ya kijani.
 
Aende CMA akakate rufaa ndani ya muda mfupi.

Huo ni UPUMBAVU
 
Huyu jamaa alikuwa anatafutwa sana siamini ni hilo tu lilomuondoa kazini mbona watumishi wengi wanajadiliana haya kwenye magroup yao why yeye tu awe victim.. Kuna kitu nyuma ya huyu Mwamba na Boss wake wa Utumishi na amekamatwa kupitia hilo
 
Hili ni funzo, nakumbuka kuna mtu aliwahi nichomea nikiwa std 4 kwa ishu ambayo ilikuwa very personal. Siku hio nilipewa adhabu nikawa nimepiga goti nje.

Out of the blue kuna classmate alifungua bag yangu kimya kimya kulikuwa kuna daftari moja la rough, nilikuwa mchoraji mahiri sana nikiwa yanki sasa akawa anatafuta daftari nalochoreaga. Ndani kulikuwa na picha za magari na watu, katuni akawa anaangalia ila kuna page moja ilikuwa ina conversation ya ajabu. Hio siku nilihisi ganzi, maana sikuelewa kisa kilianziaje mpaka kesi ikafikia nahitwa kwa head master.

Kuna siku moja home niko na bro yangu mmoja alikuwa ananifundishaga hesabu. Siku sina mood tukaingia kwenye matani tukaanza kujibizana kwa kuandika. Utani utani ukaenda kwenye matusi kibao.Ile kurasa ikawemo kwenye hilo daftari na ndio kitu kiliniletea hio kesi.

Kwa mara ya kwanza naambiwa peleka mzazi shuleni.
🤣🤣🤣🤣Kuna siku job kweny group la kitengo chetu . Kuna jamaa alikuwa ni msiri yaani ishu zake hataki mtu ajue yeyote Yule mi namfahamu coz tuliscore chuo pamoja na pia tumepanga mtaa mmoja...Basi tulikuwa tunataniana fanya "uoe " jamaa yeye ni bachelor ila ana demu wake wanapendana tu ...Sasa utani yeye akasema "kashaoa"


Duh ghafla kesho kaitwa na manager kwa nn kaoa bila ya kusema kwamba aonekane katengwa ila kiukweli jamaa ana hajaoa yaani kasema leo kesho ikawa ivyo. Kumbe Kuna kidada kimeenda mwambia manager
 
Back
Top Bottom