darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Kaz kuwapiga miti sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wanaonekana choka mbaya hao.ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo.
Aisee we chalii, muache Yengayenga atafune mifupaWanawake wenyewe hawana hata chura
Wamekauka kisenge
Four some,, mwamba kama mwamba,,😀😀 Leo italala humo humo kama kisu kwenye ala😆ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo.
Ya kuwagegedaAnaona ufahari subiri bodaboda wamsaidie majukumu
😆Sheikh Aliyefungisha Ndoa Hiyo Aitwe Bungeni Chap Akapongezwe Haraka
Mchango Wake Ni Mkubwa
NakaziaMekapu tu hizo
Nimejiuliza piaAnafaidi Nini Sasa
mama D inashabikia huu upuuzi, halafu kesho unasimama kwenye jukwaa unadai equal gender opportunities and rights . Huu ni unyanyasaji na udhalilishaji wa kijinsia wa Hali ya juu. Hao wanawake wamekubali kwa sababu ya umaskini wa Mali na fikra. Unadhani wangetoka familia za kiislamu haswa na za kisomi na wazazi wanaojielewa wangekubali huu udhalilishaji..Dini inaruhusu
Jiandae kutomb*waATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo.