Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Hata taaa za uwanjani ni ishu ya taifa jmn??

meneja anafanya nn ofisin
 
Afadhali umekatika huko imeonekana
Huku Swekeni umeme unakatika muda wowote unaojisikia
 
Mji niliopo wameamua kukata kabisa mazima kuficha ujinga wa Taifa.

Mtaumbuka kila siku na bado.
 
Back
Top Bottom