Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Ingekuwa ni uwezo wangu,

1: Waziri wa michezo na meneja wa uwanja wangerudi makwao na daladala muda huu.
2: CAF watoe ban ya miaka 10

Kwa upumbavu kama huu, ndio maana JPM aliitwa dikteta mana viongozi wa hii nchi/serikali hawawezi kuongoza bila kipigo.

Afu kesho utasikia mama anasema hili nalo mkalitizame

F*K
 
Kwa nini wasisumbuliwe wale aliowapa mamlaka ya kuratibu na kuvisimamia vitu/madaraka waliyoachiwa
 
Kwa hiyo mpira sio mambo? Mnataka vijana wote wawe waimba bongo fleva , bongo movie sio? Hovyo sana

Simba na Yanga ni timu zinazotumika kisiasa that way watz 24/7 wanajadili mpira na hii inaratibiwa na CCM
 
Wizara Ya Nishati Ilipewa Billions Kukarabati Grid Mambo Ndiyo Hayo Sasa
 
Halafu kwa makato wanayotukamua,wanashndwa hata kuwa na imejensi ya umeme...

Huu ni uzembe wakipumbavu mno,naichukia hii nchi
 
Rais mnapenda kumlaumu hizi lawama zilibidi kuleta maana Katika Mambo ya msingi Kama kupanda kwa Gharama za maisha na wanafunzi 100 kutumia choo kimoja na sio Mambo yenu ya Simba na Yanga.
 
Huu upumbavu ungemalizwa mapema sana na JPM

Waziri wa michezo na meneja wa uwanja wote wangerudi makwao na daladala

NB: CAF kuleni kichwa hicho, miaka 10 ya ban itakuwa fresh.
 
Ili kufuta aibu hii kwa wageni rivers, yanga ichezee kichapo cha mbwa mwizi wageni hao wajisikie vizuri
 
Back
Top Bottom