Sisi ni wazuri kwa maneno, kusifia udhaifu kwa vitendo na uhalisia ni sifuriNashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini???
Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon??
Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa.