Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Kila siku mnapewa mabango ya kumsaidia hangaya Leo mnalalamika nini ,ilitakiwa ukatike mwaka mzima iliakili ya watanzania image sawa
 
Mechi ya marudiano kati ya Taifa Stars na Uganda, mambo yalikuwa hivi hivi! Mwisho wa siku tukaishia kufungwa.

Hivi ni kwa nini huu uwanja unakosa standby generator? Mapato ya huu uwanja yanaishia kwenye mikono ya nani? Huu uwanja una usimamizi makini kweli?
Ndiyo tushangae.
Wangempa mzabuni wa kusimamia uwanja. Inashangaza hata screen zile kubwa kushindwa kuwa na replay.
Sisi ni taifa la kipumbavu sana.
 
IMG_3706.jpg

Hali ilivyo Kwa sasa taifa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili Taifa lilipofikia ni kuleana tu!

Nchi inayoomba kuandaa mashindano ya CAF bado inaushamba unaojirudia rudia kuzimika taa kwenye uwanja wake mama?!

Ndani ya mwezi mmoja taa za uwanja wa Taifa zimelitia doa Taifa.

Mijinga mimtu inayoongoza sekta husika imekalia kuiba pesa za Watanzania tu!
Kwa nini serikali inatoa pesa za magoli badala ya kurekebisha umeme

USSR
 
Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini???

Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon??


Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa.
Kwenye nchi ambazo zimestaarabika ungeona viongozi wa mamlaka husika kajiuzulu.. ila kwa kuwa ni LAND OF MWALIMU utayaona yanapeta tu like nothing happened.. Aibu sana aisee
 
Matendo ya hovyo yanayoendelea nchini ni dalili kuwa hii nchi inaongozwa na watu wasiostahili. Haiwezekani taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu kwa mara ya pili ndani ya miezi 3. Uongozi sio kuahidi mamilioni baada ya ushindi huku miundombinu haisimamiwi ipasavyo.

Hebu tumia mamlaka yako ya Urais kuwawajibisha wasiotaka kuwajibika.
Hili nalo mkalitazame?

USSR
 
January Makamba, Nape Nnauye na wengine waliokataliwa na JPM wamerejeshwa na Samia, leo ni mara yapili taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu, huu uwanja ni mali ya serikali, inaelekea serikali haikujali aibu ya sikuile na leo wameirudisha tena aibu hiyo. Amakweli huwezi mbebesha mtoto wa pwani gunia la kilo 100, atakufa tu.
Hizi chuki za ajabu sana, Sasa Nape na Makamba wanahusikaje na Uwanja?
 
Back
Top Bottom