Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Halafu tumeomba kuandaa Afcon tukishirikiana na nchi jirani! Kww namna hii hatupaswi kupewa hiyo nafasi. Labda miaka mia ijayo, tufe wote na itikadi zetu za kujuana, wazaliwe wenye kutumia akili ipasavyo.
 
Tatizo halipo kwa makamba bali lipo kwa meneja wa uwanja.
Meneja wa uwanja ndo wanatakiwa kuhakikisha uwanja uko tiyari katika hali yeyote.
We tetea jipu tu ilo !!! January ni bonge moja la waziri mpuuzi Sana kwenye utawala wa simia

Huwezi kuelewa kwa sababu huwezi kuelewa!!!
 
January Makamba, Nape Nnauye na wengine waliokataliwa na JPM wamerejeshwa na Samia, leo ni mara yapili taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu, huu uwanja ni mali ya Serikali, inaelekea Serikali haikujali aibu ya sikuile na leo wameirudisha tena aibu hiyo.

Ama kweli huwezi mbebesha mtoto wa pwani gunia la kilo 100, atakufa tu.
 
Wacha wanunue hata 1bn/- kwa kila goli. Nchi tajiri hii:

Screenshot_20230319-081205.jpg
 
Back
Top Bottom