Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kazi yake nini hasa Kama waziri wa Nishati hausiki na upatikanaji wa Nishati ?Waziri unamuonea tu. Siku ya tatu tangu ateuliwe kulikuwa na mechi baina ya Tanzania na Uganda umeme ukazima.
Aliyefeli ni mama Samia na serikali yake nzima. Ulitaka waziri ndiyo akarekebishe taa na familia yake??
Kwahio wewe sababu babu yako wakati anamiliki shamba mlikuwa mnalala njaa ni sawa leo hii wewe mjukuu unayemiliki hilo shamba ulalae njaa ?
Kama Waziri hausiki kwa lolote tuna sababu gani ya kuwa na Waziri ? Si tuondoe hii nafasi chenji inayobaki ipelekwe kupunguza bei ya mafuta ya taa tununue vibatari ?