Tuko na viongozi ambao hata wangefanya baya kiasi gani, bado wataendelea kuwapo tu kwenye nyadhifa zao,Daah
Hii ni mara ya pili, inamaana hawajifunzi ama ni maksudu tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko na viongozi ambao hata wangefanya baya kiasi gani, bado wataendelea kuwapo tu kwenye nyadhifa zao,Daah
Tuliwaambia meneja wa uwanja hafai aondolewe haraka,wakasingizia kibaka.Inawezekana huyo mtu aliyesingiziwa amehukumiwa tayari,lakini Mungu anawaonesha kuwa haikuwa sahihi kwani mwenye makosa yupo bado kwenye nafasiNashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini???
Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon??
Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa.
Magufuli alikuwa hafanyi maintenance ya vifaa vya umemeHii ni mara ya pili baada ya ile mechi ya Taifa stars na Uganda, shida ni nini?
Tukienda tu kwa kubembelezana kama ilivyo kwa Waziri wa Nishati! Iko siku tutapata bonge la Aibu zaidi ya hili la umeme kuwa mdogo kwenye uwanja wa Mkapa mechi ya kimataifa inayohusisha Timu za Tanga na Rivers!
Halafu sijui ni kwa nini huwa inakuwa hivi!
Kila mtu aliyewahi kulalamikiwa sana na wananchi kwenye tawala hizi, mtu huyo huja kuwa sababu ya serikali kufeli vibaya na kuwa ya hovyo hovyo tu
Nchi nzima kwani imekosa watu makini hadi iwe yuleyule tu aliyefeli hata kabla ya kuanza?
Hivi majuzi kwenye ziara ya Rais kabisa kule Arusha! Umeme ulikatika mbele yake na bado mh Januar Makamba bado aliendelea kuwa waziri
Mfano
Makonda!
aibu kubwa sanaNashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini???
Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon??
Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa.
Generator linahitaji winchi kubwa Sana ili kulinyanyua kwa ajili ya kulisafiriaha. Hivyo serikali imemlipa mkandarasi wa kutengeneza winchi mpk mwaka 2035 kitakuwa limekamilikaMechi ya marudiano kati ya Taifa Stars na Uganda, mambo yalikuwa hivi hivi! Mwisho wa siku tukaishia kufungwa.
Hivi ni kwa nini huu uwanja unakosa standby generator? Mapato ya huu uwanja yanaishia kwenye mikono ya nani? Huu uwanja una usimamizi makini kweli?
Mmelogwa na aliyewaloga kafa!Magufuli alikuwa hafanyi maintenance ya vifaa vya umeme
😂😂😂😂😂😂Generator linahitaji winchi kubwa Sana ili kulinyanyua kwa ajili ya kulisafiriaha. Hivyo serikali imemlipa mkandarasi wa kutengeneza winchi mpk mwaka 2035 kitakuwa limekamilika
Aibu kubwa sana katika taifa letuNchi hii ujinga na uwajibikaji ni sifuri kabisa. Hii ni aibu
Tangu umeme ulipokatika pale Ukumbi wa Kuringe Rais Samia akiwa anahutubia nilijua hii Tanesco ni majanga sanaHii ni mara ya pili baada ya ile mechi ya Taifa stars na Uganda, shida ni nini?
Tukienda tu kwa kubembelezana kama ilivyo kwa Waziri wa Nishati! Iko siku tutapata bonge la Aibu zaidi ya hili la umeme kuwa mdogo kwenye uwanja wa Mkapa mechi ya kimataifa inayohusisha Timu za Tanga na Rivers!
Halafu sijui ni kwa nini huwa inakuwa hivi!
Kila mtu aliyewahi kulalamikiwa sana na wananchi kwenye tawala hizi, mtu huyo huja kuwa sababu ya serikali kufeli vibaya na kuwa ya hovyo hovyo tu
Nchi nzima kwani imekosa watu makini hadi iwe yuleyule tu aliyefeli hata kabla ya kuanza?
Hivi majuzi kwenye ziara ya Rais kabisa kule Arusha! Umeme ulikatika mbele yake na bado mh Januar Makamba bado aliendelea kuwa waziri
Mfano
Makonda!
bila shaka umeongea kutokana na experience yakoTanzania ka nchi sehemu ambayo tuko vizuri ni kugegedana tu basi
Uwanja uliogharimu bilioni 40 unakosa standby genereta ya milioni 100 !! Tena zipo pale mikocheni STENDI ya daladala Chama 😅😅🙏🙏Mechi ya marudiano kati ya Taifa Stars na Uganda, mambo yalikuwa hivi hivi! Mwisho wa siku tukaishia kufungwa.
Hivi ni kwa nini huu uwanja unakosa standby generator? Mapato ya huu uwanja yanaishia kwenye mikono ya nani? Huu uwanja una usimamizi makini kweli?