Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Hili Taifa lilipofikia ni kuleana tu!

Nchi inayoomba kuandaa mashindano ya CAF bado inaushamba unaojirudia rudia kuzimika taa kwenye uwanja wake mama?!

Ndani ya mwezi mmoja taa za uwanja wa Taifa zimelitia doa Taifa.

Mijinga mimtu inayoongoza sekta husika imekalia kuiba pesa za Watanzania tu!
 
Waziri unamuonea tu. Siku ya tatu tangu ateuliwe kulikuwa na mechi baina ya Tanzania na Uganda umeme ukazima.

Aliyefeli ni mama Samia na serikali yake nzima. Ulitaka waziri ndiyo akarekebishe taa na familia yake??
 
Back
Top Bottom