Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Kuandaa afcon ya ny.oko🤣🤣🤣ndoto za abunuwasi hizo🤣Tanzagiza hoyee
 
Ivi TFF KAZI UAO NINI MBONA HII NI AIBU awali ilitokea wakati wa moja Kati ya MECHI ya Simba Sasa PESA wanazo kata kwenye viingilio wanapeleka wapi.?
Hizo pesa anazo toa mama za kila goli wakarebishe uwanja hiii ni AIBU Africa
Nini maoni yako mdau
Jiulize swali hizi fedha anazotoa hangaya anatoa kwenye mfumo gani,hao wote maccm hakuna atakaye wajibika
 
Kama ni meneja awajibishwe mapema kabisa ni hatari kwa taifa letu
Watu wa nishati hawa husiki kwa lolote mkuu kwa sababu tatizo sio umeme bali tatizo liko kwenye taa anaye takiwa kuwajibika ni meneja wa uwanja.
 
Mnamsagia kunguni mtu hapo ingawa haitoleta tija , Hitilafu za kawaida hizo waacheni waendelee kushughulika na grid imara hayo mengine upuuzi tu.
 
Namna hii Karia na uwanja wake washajiondoa kabisa kwenye kinyang'anyiro Cha kuwa wenyeji Afcon 2027
 
Matendo ya hovyo yanayoendelea nchini ni dalili kuwa hii nchi inaongozwa na watu wasiostahili. Haiwezekani taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu kwa mara ya pili ndani ya miezi 3. Uongozi sio kuahidi mamilioni baada ya ushindi huku miundombinu haisimamiwi ipasavyo.

Hebu tumia mamlaka yako ya Urais kuwawajibisha wasiotaka kuwajibika.
 
Back
Top Bottom