Wewe ni chizi fresh
 
Issue siyo upungufu wa nishati. Ni technical faults za mfumo wa umeme uwanjani.
Kaangalieni vizuri mfumo maana inasemekana Backup ya umeme wa Uwanja Kipara kaiweka kwa Barbra.
 
Nikujulishe tu, pale umeme wa Tanesco hauhusiki!
Kanuni za Fifa zinataka jenereta litumike kwa kutambua changamoto za umeme wa maji!
Pale meneja anatakiwa aliwe kichwa haraka, wanashindwaje kuwa na standby generator za kutosha…!?? Kazi ni kugawana % za mapato tu na kujisifu bar!!!
 
Kilichotokea kinaangukia kwenye Management ya uwanja.Umeme haukukatika bali mifumo ya taa ilizingua hapo huwezi mlaumu waziri ni Management ya uwanja ndio inapaswa kuwajibika.Ila Tanesco nao watupe mrejesho je hawalipwi kwa ajili kuweka mifumo sawa.
 
Mfumo wa Umeme uwanjani leo hii ulikuwepo sehemu Ngapi Tanzania ? Sehemu Kibao leo mchana kutwa kulikuwa hakuna Umeme; Kwahio pamoja na hao wazembe Uwanjani kuna Kinara wa Uzembe hapo Juu katika Wizara ya Nishati
Tuvumilieni Ndugu Watanzania tupo kwenye Mpango wa kufumua Gridi yote ya Taifa kwasababu tumegundua awamu ya tano walikuwa hawafanyi maintenance!
 
Reactions: nao
Kwa hiyo zimewekwa taa mpya uwanja mzima kwa hizo dakika umeme ulipokatika?
Unajua maana ya hitilafu? Tusibishane tu kumbe hatuongei lugha moja.
Baadhi ya taa zilizima na nyingine zinawaka hivyo mwanga ukapungua uwanjani sasa kama huko porini kwenu ulipotoka ikitokea hali kama hiyo ndo mnasema umeme umekatika basi sawa.
 
Uko sawa
 
Mbona Tanesco wnasema hawahusikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kilichotokea kinaangukia kwenye Management ya uwanja.Umeme haukukatika bali mifumo ya taa ilizingua hapo huwezi mlaumu waziri ni Management ya uwanja ndio inapaswa kuwajibika.Ila Tanesco nao watupe mrejesho je hawalipwi kwa ajili kuweka mifumo sawa.
Watu walishaaminishwa na awamu iliyopita kutumbua tu.
 
Unajua maana ya hitilafu? Tusibishane tu kumbe hatuongei lugha moja.
Baadhi ya taa zilizima na nyingine zinawaka hivyo mwanga ukapungua uwanjani sasa kama huko porini kwenu ulipotoka ikitokea hali kama hiyo ndo mnasema umeme umekatika basi sawa.
Acheni uzembe na hujuma kwa Rais wetu
 
Sasa unataka yeye ndiyo akaondoe hizo taa mbovu hapo uwanjani?
 
Yan apo kuna waziri wa nishati kabisa hii nchi hii naichukia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…