dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Bas afutwe Kaz wazir wa michezo na naibu wake ,pmj na meneja Kisha caf wamuengue kariaaTatizo liliko uwanja wa taifa ni taa sio umeme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bas afutwe Kaz wazir wa michezo na naibu wake ,pmj na meneja Kisha caf wamuengue kariaaTatizo liliko uwanja wa taifa ni taa sio umeme.
Makamba anahusika vipi na mambo ya uwanjani?
Huu upumbavu ungemalizwa mapema sana na JPM
Waziri wa michezo na meneja wa uwanja wote wangerudi makwao na daladala
NB: CAF kuleni kichwa hicho, miaka 10 ya ban itakuwa fresh.
Hivi kama Rais yupo makini,aliruhusu vipi wataalamu wa Umeme kuwekwa kando kwenye Bodi ya TANESCO na kitujazia maswaiba wa January ambao wengi ni Bankers akina Mafuru,Mchechu et al.Wanaelewa nini juu ya masuala ya umeme!?Wizara hii inahitaji watu, watu kweli
Nilikuwa naandika gooder[emoji120][emoji120][emoji120]
Tunashindwa kuwa na standby generator uwanjani?!!! Mbuta!Tukio la mpira sio la dharura ni kitu kimepangwa. Hivi kweli mnashindwa kuwasha umeme wa uhakika kwa dakika 90?. Hivi Rais unaona hii aibu Leo sio mara ya kwanza mbona President hayuko serious kwenye mambo ya msingi?
Rais unafanya kazi na watu wasiowajibuka Wanafanya Nini hapo. Hivi Kuna mtu ambaye ni Bora kuliko Tanzania hadi abebwe hivi? Jitafakarini Hata Rais ujitafakari kwenye hili. Ukiniambia unaipenda Tanzania sitakuelewa Kama una Genge la watu unawabeba wasio na Tija kwa Taifa
Asante.
Kuna watu wanadhani changamoto za nchi hii zitaisha kwa kufukuza watu kazi. Kwa hiyo magu aliifanya hii nchi pepo ndogo au? Kwa hiyo nchi ilikuwa haina tatizo lolote kisa watu walitumbuliwa?
Mnaacha kutafuta mzizi wa tatizo mnajikita kutaka watu wapigwe chini
Sema wewe sio sisiMpira unatusaidia Nini sisi
Macho anayo mkuu tena mazuri tuu, sema kuna familia anaziogopa sana hawezi tumbua watoto wao!.huyu Rais tumepigwa yaani Hana macho!!
AibuMam fukuza makamba Jr,waziri wa michezo na naibu wake
Uzi tayari jmn ,
Update makamba Jr hausiki hapa wakuwaaondoa ktk Kaz Ni wazir chana na mwinijuma hamisi
Ni sahih hausiki wakulaumiwa Ni wazir wa michezo na naibu Kisha meneja na jopo lakeMakamba anahusika vipi na mambo ya uwanjani?
Anausika na kukatika kwa umemeMakamba anahusika vipi na mambo ya uwanjani?
Mm au serekali ya mam enuAibu
Maza kazikwa lushoto![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We January na mzee wake makamba wamemzika maza huko lushoto,hawezi mfanya lolote January [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hausiki bhna Ni chana na naibu na meneja wafutwe tAnausika na kukatika kwa umeme
Sasa kama chadema wameshindwa kujenga ofisi yao na ruzuku wanapata siku wakipewa nchi si umeme utakatika mwaka mzimaPascal Mayalla naipongeza chama chako toka kipate uhuru matatizo ya kuzimika kwa taa uwanja wa taifa bado yapo.
Siku ccm itakapotoka madarakani hakika Tanzania itakuwa nchi ya mfano kuigwa..
Mkuu humu tupo watu tofauti hivyo hatuwezi kuwa na maoni yanayofanana.HIVI NI LINI MITANZANIA KAMA WEWE MTAELIMIKA
KWAHYO WEWE UNAONA MZIZI HAPO NI NINI?
HELA ZA MAREKEBISHO ZINATOKA NA HAWAREKEBISHI WEWE UNAONAJE
PUMBAVU