Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Huu upumbavu ungemalizwa mapema sana na JPM

Waziri wa michezo na meneja wa uwanja wote wangerudi makwao na daladala

NB: CAF kuleni kichwa hicho, miaka 10 ya ban itakuwa fresh.

Kabisa!!
Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami!
 
Wizara hii inahitaji watu, watu kweli
Hivi kama Rais yupo makini,aliruhusu vipi wataalamu wa Umeme kuwekwa kando kwenye Bodi ya TANESCO na kitujazia maswaiba wa January ambao wengi ni Bankers akina Mafuru,Mchechu et al.Wanaelewa nini juu ya masuala ya umeme!?
 
Tukio la mpira sio la dharura ni kitu kimepangwa. Hivi kweli mnashindwa kuwasha umeme wa uhakika kwa dakika 90?. Hivi Rais unaona hii aibu Leo sio mara ya kwanza mbona President hayuko serious kwenye mambo ya msingi?

Rais unafanya kazi na watu wasiowajibuka Wanafanya Nini hapo. Hivi Kuna mtu ambaye ni Bora kuliko Tanzania hadi abebwe hivi? Jitafakarini Hata Rais ujitafakari kwenye hili. Ukiniambia unaipenda Tanzania sitakuelewa Kama una Genge la watu unawabeba wasio na Tija kwa Taifa

Asante.
Tunashindwa kuwa na standby generator uwanjani?!!! Mbuta!
 
Kuna watu wanadhani changamoto za nchi hii zitaisha kwa kufukuza watu kazi. Kwa hiyo magu aliifanya hii nchi pepo ndogo au? Kwa hiyo nchi ilikuwa haina tatizo lolote kisa watu walitumbuliwa?
Mnaacha kutafuta mzizi wa tatizo mnajikita kutaka watu wapigwe chini

HIVI NI LINI MITANZANIA KAMA WEWE MTAELIMIKA

KWAHYO WEWE UNAONA MZIZI HAPO NI NINI?

HELA ZA MAREKEBISHO ZINATOKA NA HAWAREKEBISHI WEWE UNAONAJE

PUMBAVU
 
Hii kiusalama imakaaje wakuu, maana kuzima taa kwenye nyomi yote ile si mchezo.....
 
Hivi zile mashine za dizeli za kufua umeme zilizokuwa Kasulu na Kibondo zikifungwa uwanja wa taifa ili kuficha aibu ya utendaji wa Serikali si zingeokoa jahazi kwenye mechi za Uganda na Tanzania, na hii ya leo? 😳 .. Mtu anaweka dau la million 10 kila goli wakati usimamizi wa michezo nchini, hasa mpira wa miguu ni zero?...🫢
 
HIVI NI LINI MITANZANIA KAMA WEWE MTAELIMIKA

KWAHYO WEWE UNAONA MZIZI HAPO NI NINI?

HELA ZA MAREKEBISHO ZINATOKA NA HAWAREKEBISHI WEWE UNAONAJE

PUMBAVU
Mkuu humu tupo watu tofauti hivyo hatuwezi kuwa na maoni yanayofanana.
Jifunze kuheshimu maoni ya mtu hata Kama huyapendi. unaweza kupinga tu bila kutumia lugha ya kuudhi.
 
Back
Top Bottom