Kwasababu Magufuli Mungu mtu kawakataa basi kila rais awakatae upuuzi mtupu hii ni awamu ya sita hawajafahamu hawa Ngosha....watoke huko usukumani msituni waje wapate vibaruwa kwenye daraja la Dar Zanziber.Hizi chuki za ajabu sana, Sasa Nape na Makamba wanahusikaje na Uwanja?
Poor you!!! Adhabu na mateso aliowafanyia watanzania Nyerere unataka fananisha na Mwinyi??? Watu kufulia majani ya Mipapai Sukari robo kwa kila family wacha kututia hasira Mungu apishe Mbali...Wazanzibar wanaroho nzuri sio kama Hao makatili Nyerere na Magufuli. Ungeijuwa TV wewe kama si Mwinyi ungevaa viatu wewe kama si Mwinyi nchi nzima watu kuvaa Mipila ya gari kama viatu Suruali viraka wewe ilikuwa poa?? No wonder kwanini Kenyatta alimwambia Nyerere anaongoza Maiti.Awamu zote zilizowahi ongozwa na wazanzibar huku tanganyika zilikuwa za hovyo. Hapo mpaka atoke madarakani taifa litakuwa ICU.
We mpumbafu mwinyi kakuta babu zenu wanavaa suluali za viraka , tv hakuna watu wanaishi Kama misukule .Kwani haoni yanayoendelea ukitaka kujua kiongozi asiefit kwenye nafasi viigezo ni hivi vya kujidai hajui wakati anajua kila kinachoendelea na kapiga kimya
Sasa nape na lile bichwa kama box unadhani kuna kitu mle sema ndo hivyo anafanana na kiongozi wake mkuuJanuary Makamba, Nape Nnauye na wengine waliokataliwa na JPM wamerejeshwa na Samia, leo ni mara yapili taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu, huu uwanja ni mali ya serikali, inaelekea serikali haikujali aibu ya sikuile na leo wameirudisha tena aibu hiyo. Amakweli huwezi mbebesha mtoto wa pwani gunia la kilo 100, atakufa tu.
Mkuu achana na huyu taahira.Poor you!!! Adhabu na mateso aliowafanyia watanzania Nyerere unataka fananisha na Mwinyi??? Watu kufulia majani ya Mipapai Sukari robo kwa kila family wacha kututia hasira Mungu apishe Mbali...Wazanzibar wanaroho nzuri sio kama Hao makatili Nyerere na Magufuli. Ungeijuwa TV wewe kama si Mwinyi ungevaa viatu wewe kama si Mwinyi nchi nzima watu kuvaa Mipila ya gari kama viatu Suruali viraka wewe ilikuwa poa?? No wonder kwanini Kenyatta alimwambia Nyerere anaongoza Maiti.
Aambiwe ukweli upi wakati anaujua...ila ndio hivyo hatuna mtu hapa...tupo tupo tu...Huyu mama haambiwi ukweli.
Mtoto wa pwan m'bebeshe kapu gunia unataka kuuwaJanuary Makamba, Nape Nnauye na wengine waliokataliwa na JPM wamerejeshwa na Samia, leo ni mara yapili taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu, huu uwanja ni mali ya serikali, inaelekea serikali haikujali aibu ya sikuile na leo wameirudisha tena aibu hiyo. Amakweli huwezi mbebesha mtoto wa pwani gunia la kilo 100, atakufa tu.
Hahahaa, atakuwa anaambiwa kuwa anaupiga mwingi kumbe anapaisha.Aambiwe ukweli upi wakati anaujua...ila ndio hivyo hatuna mtu hapa...tupo tupo tu...