Hivi haswa ndivo alivokuwa Magufuli na ndio maada aliwapata wafuasi wengi Waafrika wengi huchukia mafanikio ya wenziwao Magufuli alishika bendera kwenye hili.
 
Umeanza vizuri ukamalizia utopolo kwa kuleta ushabiki maandazi. Kwa hiyo zilipozimika kwenye mechi ya taifa stars dhidi ya uganda ni simba ndio walihujumu?
 
Mwaka juzi old Trafford umeme ulikatika
Mechi Kati ya Manchester United vs Brighton
Kombe la dunia Qatar umeme ulikatika
Mechi Kati ya mexico vs Saudi Arabia

Tatizo kutokea huko hakuhalalishi ya kwetu huku!
Halafu huko si matatizo yanayojirudia, yamkini mara moja baada ya miongo kadhaa!

Ukiweza leta reference kama huko ulikotaja umeme uliwahi kukatika ama kusumbua mfululizo….!!
 
Mwaka juzi old Trafford umeme ulikatika
Mechi Kati ya Manchester United vs Brighton
Kombe la dunia Qatar umeme ulikatika
Mechi Kati ya mexico vs Saudi Arabia

Tatizo kutokea huko hakuhalalishi ya kwetu huku!
Halafu huko si matatizo yanayojirudia, yamkini mara moja baada ya miongo kadhaa!

Ukiweza leta reference kama huko ulikotaja umeme uliwahi kukatika ama kusumbua mfululizo….!!
 
We mpumbafu mwinyi kakuta babu zenu wanavaa suluali za viraka , tv hakuna watu wanaishi Kama misukule .
Atajuwa wapi huyo amuulize babu yake lini alianza kuvaa viatu???
 
Kama ni Rais labda baada ya huyu.

Ila hakuna kitu huyu anafanya kuongea ongea tu ila kimsingi kila jambo tunazidi kurudi nyuma kama Taifa.

Nchi Ina kila kitu lakini Rais hatuna.
 
Ni pale mtu aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa kuuza ving'amuzi na kusimamia wafanyakazi kama 20 anapewa shirika kubwa na nyeti la umeme kwa sababu za kiushikaji tu,huyu Mabinzi na waziri wake wapo kupiga dili tu hawana weledi wowote, tanesco inataka Mhandisi mbobezi na sio mtu wa masoko, unaleta mtu wa masoko kwani Tanesco wanafanya biashara ya kuuza umeme au ni watoa huduma ya umeme? kama ni hivyo basi hata Muhimbili wapelekeni wakurugenzi ambao sio madaktari.
 
Rais pia ana uwezo mdogo.

Sasa kama mtu hata anashindwa kujua kuwa anapaswa kufanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri??

Kuwa Hawa watu alionao hawatufai??

Sijui ni kiongozi wa namna Gani??
 
na hii ni mara ya pili kwenye michuano hii, etu taa zimezima,any way LABDA ULIOPO DODOMA TUSUBIR UKAMILIKE JAPO SI LEO
 
Waziri wa umeme umemwacha wapi wote nikuswaga nje

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…