mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Vipi wewe umeshamfukuza shemeji yako au ndio unamlia timing🧐Nakubaliana na wewe hapa kuna tatizo. Lkn usikubali kudhalilika kwa kukaa kwa mtu (hata kama Ni nduguyo) kwasabb tu unaziogopa changamoto.
Miaka 3 tu. Wakati unasubiria unakuwa unapiga ishu za kilimo kama karanga na mihogo ambayo haihitaji chochote.Nimekuuliza gharama za kukuza Miche ya parachichi na michikichi mpaka muda kuanza kuvua
Kama kilimo kingekuwa kinalipa,basi mikoa ya Kanda ya ziwa,nyanda za juu kusini ingeongoza kwa kipato kimkoa na mchango kwenye pato la Taifa,lakini unajua mkoa unaoongoza?ni Dar es salaam,mkoa ambao hauna shughuri kubwa za kilimo lakini unachangia asilimia 80 ya pato la Taifa!!
Kwa kila shilingi 100 inayoingizwa kwenye mfuko wa Taifa,asilimia 80 inatoka Dar!!hiyo mikoa inayolima ipo wapi??
Hoja zako kwamba vijana wakiomaliza vyuo waende mikoani,wakamate ardhi(ambayo ipo bwelele)walime,zimekaa kinadhalia tu na ni story za kwenye makaratasi hazina uhusiano na Hari halisi iliyopo kwenye mazingira yao.
Huwezi kutoka hapa ukaenda Katavi,ukachukua ardhi,ukaanza kulima mahindi,ukavuna!na ukapiga pesa ndeefu!?
Mfuko wa mbolea unauzwa 100000Tsh,gunia la mahindi linauzwa 20000Tsh!
Mbona na wewehutumii nafac yako kuwapa hao vijana matumaini halic ili ucwe kama ccMsitumie nafasi mlizonazo kuwalisha vijana matumaini yasiyo halisi kwa sababu kuna tatizo la ajira
Ungejazia na pcha , jins Miche yako ilivyokua, shamba lnavyopendeza tupate motsha zaid..Miaka 3 tu. Wakati unasubiria unakuwa unapiga ishu za kilimo kama karanga na mihogo ambayo haihitaji chochote.
Jamani ingieni kwenye kilimo
Hapa ishu inayogomba ni mtaji ku sustain hicho kilimo mpaka uanze kupambana na changamoto za sokoMiaka 3 tu. Wakati unasubiria unakuwa unapiga ishu za kilimo kama karanga na mihogo ambayo haihitaji chochote.
Jamani ingieni kwenye kilimo
Kwani umachinga na bodaboda vinahitaji ujinga mkuu? Kazi ya elimu ni kupambana na changamoto za mazingira yako.Kwa hiyo unataka kusema hakuna haja ya kuwa na elimu?
Leta hoja sio unarukaruka kwenye key boardMbona na wewehutumii nafac yako kuwapa hao vijana matumaini halic ili ucwe kama cc
Co kuzalilika ni uhalica umelima kwa changamoto nyingi umevuna unauza kwa shida chini ya gharama za uzalishajiNakubaliana na wewe hapa kuna tatizo. Lkn usikubali kudhalilika kwa kukaa kwa mtu (hata kama Ni nduguyo) kwasabb tu unaziogopa changamoto.
Mi naruka mbona we umekaa au hiyo ndio hoja bac sawa nimeiona hoja yako nitaifanyia kaziLeta hoja sio unarukaruka kwenye key board
Bora umenisaidia. Watanzania wanataka kusikia mialiko kwamba waje hoteli fulani nyota tano Kuna mafunzo ya ujasiriamali.Mbona na wewehutumii nafac yako kuwapa hao vijana matumaini halic ili ucwe kama cc
Anza kidogo kidogo mkuu. Tumia watu wanaokulisha na kukuvisha wakati huna kazi wakupe mtaji kidogo utoboe kupitia kilimoUsisahau kuwa Kilimo cha biashara kinaitaji mtaji pia. Na sio kwamba hatuba hio akili ya kuwekeza kwenye Kilimo ila changamoto zinakuja kwenye mtaji wa kuanzia
Sio kila anaekulisha na kukuvisha anataka ufanikiwe au anauwezo wa kukusapotiAnza kidogo kidogo mkuu. Tumia watu wanaokulisha na kukuvisha wakati huna kazi wakupe mtaji kidogo utoboe kupitia kilimo
Unajua nashangaa sana hiyo nchi. Hivi kweli Waziri wa biashara Professor mzima ameshindwa kuweka mfumo mzuri wa kuuza mazao sokoni hata akawaachia madalali jamaa wasio na Elimu ya biashara hata darasa moja? Kuna mambo yanafanyika Tanzania ni vichekesho lakini pia highly counterproductive kwa uchumi na maendeleo. Hao madalali ni kama wameshindikana halafu kila pembe ya nchi.Issue sio ardhi issue unacholima utauza wapi au utegemee dalali sokoni
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Daah! Hapo ndiyo kazi sasaSio kila anaekulisha na kukuvisha anataka ufanikiwe au anauwezo wa kukusapoti
Waziri wa biashara nchi hii huwa Hana kazi yoyote. Hakuna kabisa zaidi ya kupiga picha na kurekwbisha tai shingoni.Unajua nashangaa sana hiyo nchi. Hivi kweli Waziri wa biashara Professor mzima ameshindwa kuweka mfumo mzuri wa kuuza mazao sokoni hata akawaachia madalali jamaa wasio na Elimu ya biashara hata darasa moja? Kuna mambo yanafanyika Tanzania ni vichekesho lakini pia highly counterproductive wa uchumi na maendeleo. Hao madalali ni kama wameshindikana halafu kila pembe ya nchi.
Siwanangi, nawaamsha wasikae sebuleni kwa dada zao miaka 3 ama zaidi wakisubiria ajira ambazo hazipo na hazitakuwepo.Ukute na wewe umeajiriwa na mshahara haufiki milion mbili njaa Kali una wananga wenzako hapo