Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana na kwakweli inasikitisha sana,Hivi inakuwaje mtu mzima unajipingda kuandika upumbav hivi
sure,
chadema chairman Freeman Aikaeli Mbowe is a big liar!
He used to say no fear no hate 🤣
but is hating his fellow opposition parties 🤣
hiyo sio ishu ,ishi ni mabadiliko ya sheriakwamba chairman Mbowe afanye coup d'etat 🤣
uchaguzi mkuu wa Oct 2025 ni wa kikatiba na utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kelele za walevi fulani sijui kutoka chama gani huko 🐒
Hivyo vyama 14 viko wapi? Hebu wewe chawa niambie vilisimamisha wagombea wangapi na vimeshinda au kubeba viongozi wangapi? Ukijibu swali nitakupa mji wa Vwawa uwe kuwadi mkuu.Uroho,uchu na tamaa ya madaraka ndio vimewajaa.
Sema wewe unatumika bila kujielewa. Wenye chama wapo na wenye nchi wapo. Wewe ni kubwa jinga unatumika. Kama unafikiri hiyo ccm iko vizuri, wekeni tume huru, watoeni hao polisiccm,hao uhasama wa taifa na hilo jeshi la wananchi wa ccm .muuone moto wa wananchi.Hakuna chama zaidi ya CCM, Chadema na ACT hata wewe unajua ndani ya roho yako, ila wale watu wengine wanapotumika kwa maslahi yako ndio unaibuka kuita vyama, anyway![]()
Wanaotumia mitutu si wengine ni ccm na serikali yake. Ni ajabu sana serikali iliyopo madarakani kuleta vurugu katika nchi. Wao walijaribu kumuua Tundu Lisu, wao ndio wanaoteka na kuua wapinzani. Sijawahi sikia serikali iliyopo madarakani inayafanya haya isipokuwa ni Tanzania tu na chama chao dhalimu cha ccmhayo waachie huko Africa magharibi na Mashariki ya kati gentleman 🐒
Lakini kila siku wakitakakufanya mikutano yao mnawatumia policcm kuwazuia na kuwateka na kuwaua hadi na kesi za uongo mnawapa.CHADEMA kwa sasa imepoteza Dira na muelekeo na kubakia kujiendea tu kama kipofu gizani
Yah sisi hatucheki na wowote mpaka mtazeeka CCM mtakuwa nayo
Wanasema CHADEMA kimekufa. Wanakisema cha nini waache kukisema au kumsema mtu aliyekufa. Ni dhambi. Yafaa sana ku deal na vyama vilivyo hai hivyo 14. Achana na hao marehemu. Kwanza CHADEMA hakipendwi na Mtanzania yeyote imebaki kuwa saccos ya Mbowe. Achana nae aendelee kuubeba mzoga wake CHADEMA. Chama kimekufa hicho, sisi tuendelee na ccm yetu inayobebwa na silaha ya moto.Kila siku CHADEMA CHADEMA CHADEMA hamna kingine cha kufanya ???
Na hauwezi ukaishaMkii ushirika wa CCM na Polisi ukiisha utaendelea kuwa nayo
Kwani si tayari mmeletewa TUME HURU YA UCHAGUZI.....au? 🤣 🤣 CCM bana wanaleta mzaha na watu tuko serious... Ila kwa CCM hii usitegemee TUME hiyo inayotakiwa,,,,Bila ya kuwa na tume ya uchaguzi independent hayo yote ni porojo tu. Kwa utaratibu huu na namna hii ya tume labda kwa coup d'etat ndiyo watatoka.
Hivyo vyama ofisi zao zimo ndani ya ofisi ya CCM Lumumba, huonekana tu wakati wa uchaguzi kwa kutumia vyombo vya habari.Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha Mwenyekiti wa wa chadema taifa, Freeman Aikaeli Mbowe kuonyesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa vya upinzani, na kujaribu kuvikaripia kwa ukali na pengine kuvielekeza kufikiri kama inavyofikiri chadema, kinaashiria udikteta wa wazi kabisaa.
Je,
huku sio kuingilia uhuru, haki, uelekeo na mipango mikakakati ya vyama vingine vya siasa kadiri wanavyoona inafaa?
huu ni wivu tu au ndiyo udikteta unajipambanua mapeeeemaaaa ili iwe rahisi kwa uma kuudhibiti vizuri kwenye sanduku la kura?
Ni dhahiri chadema haina ushawishi ndani ya chadema yenyewe, haina ushawishi katika upinzani kwa ujumla, na zaidi sana haiaminiki wala haina ushawishi kwa raia na wapiga kura tena. Imebaki na press conference, matamko na kushinikiza tu vyama vingine vya siasa vifanye nini.
Yaani vyama vya upinzani badala ya kushawishiana kwa hoja, kushauriana kama ndungu na kuhubiri umoja miongoni mwa upinzani, eti Freeman Aikaeli Mbowe anahubiri, anachochea na kuhamasisha chuki na utengano miongoni mwa vyama vya siasa. Kweli upinzani, hasa chadema una nia njema na taifa hili ndrugo zangu?
Ni wazi chadema katika ujumla wake, haina dhamira ya kufanya siasa safi, wala haina mipango ya kushinda uchaguzi, ima kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi wala kuwatumikia wananchi,
Bali chadema ina lenga kuchochea chuki, uhasama na kuligawa taifa katika misingi ya vyama miongoni mwa wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini na kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya siasa hasa upinzani, visifanye kazi na majukumu yao kwa uhuru kadiri ya malengo na mitazamo yao, bali vifanye siasa kadiri chadema inavyotaka.
Migawanyiko, chuki na uhasama ndani ya chadema, sasa inachochewa na chadema yenyewe hadi katika vyama vingine vya siasa vya upinzani nje ya chadema. Ni dhahiri kuna tatizo chadema.
Unadhani Chadema ina feli wapi hata kufikia hatua ya kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani nchini, na asasi za kiraia zenye mipango, malengo na maono yao?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Dogo,Freeman Aikaeli Mbowe kuonyesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa vya upinzani,
Muhimu sana kutawanywa kwa kuwa hawajielewi😅😅😅Lakini kila siku wakitakakufanya mikutano yao mnawatumia policcm kuwazuia na kuwateka na kuwaua hadi na kesi za uongo mnawapa.
Duu! Kumbe CHADEMA ni kibaraka wa CCM?Dogo,
Wacha hadaa, uongo, fitna, utapeli,... nk.
Hivyo 14 unavyoongelea siyo vyama vya upinzani, ni vibaraka na chawa wa ccm kama wewe na hufanya kazi ya ccm pekee
Mbona umeni quote halafu unanilisha maneno ya uongo, ni wapi nimesema hivyo?!Duu! Kumbe CHADEMA ni kibaraka wa CCM?
ni zaidi ya kibaraka mkuu wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya chadema, right?Dogo,
Wacha hadaa, uongo, fitna, utapeli,... nk.
Hivyo 14 unavyoongelea siyo vyama vya upinzani, ni vibaraka na chawa wa ccm kama wewe na hufanya kazi ya ccm pekee
