Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

Ndo bussness plan ilipofeli hapo, Atcl ilitakiwa iwe declered bankrupt ,ili izaliwe new Atcl ambayo ingekuwa detached na madeni
Au wangem-support Precision (japo KQ kawekeza pesa humo) wakaacha ATCL ijifie taratiiibu
 
ET wanarusha ndege kubwa Boeing 787 mara 2/3 to Johannesburg (kwa siku)na Boeing 787 mara 1 to Cape Town (kwa siku). KQ anabwana pumzi huko ila bado kakomaa
Mziki wa ET ni mkubwa , wale wahabeshi wamejipanga sana bro , hapo hapo south kwenye low season wana bombadier zao zi akwenda south na abiria wa kuokota okota kuamzia bole malawi , zambia then johannesburg
 
Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.

Mi naonaga watanzania hawana akili mtanisamehe…..
 
Au wangem-support Precision (japo KQ kawekeza pesa humo) wakaacha ATCL ijifie taratiiibu
Mi ningemuelewa magu kama angejikita kwenye ujenzi wa airports na kuiacha biashara kwa wenye kuijua , ila pia watu inaonekana wamenogewa na mfumo wa kununua ndege bila kupita kwenye kamati za bunge
Tumenunua brand new cargo planes , wakati kuna ma quad engine huko arizona yamekuwa retired kabla ya muda ,
 
Mziki wa ET ni mkubwa , wale wahabeshi wamejipanga sana bro , hapo hapo south kwenye low season wana bombadier zao zi akwenda south na abiria wa kuokota okota kuamzia bole malawi , zambia then johannesburg
Nawakubali Wahabeshi, Wamenunua pia Malawian Airlines (49%) kuteka soko la Southern Africa (DAR, HRE, LSK, LLZ) na West Africa wamenunua ASKY patamu hapo
 
Kuna mida mingine ukikuta mtu anayejiita mtanzania arafu anashabikia kukwama/kufa Kwa ATCL nakosa cha kuandika nabaki kusoma comments tu, nakuomba mungu kunipa ujasiri wa kukaa kimya🙏
 

..kama South Africa wameshindwa biashara ya shirika la ndege kwanini mnafikiria Tanzania tutaweza?

..biashara ya shirika la ndege ni biashara kichaa, na pasua kichwa, ndio maana SAA, Rwanda Air, Kenya Airways, ...wanakula hasara mwaka hadi mwaka.
 
..kama South Africa wameshindwa biashara ya shirika la ndege kwanini mnafikiria Tanzania tutaweza?

..biashara ya shirika la ndege ni biashara kichaa, na pasua kichwa, ndio maana SAA, Rwanda Air, Kenya Airways, ...wanakula hasara mwaka hadi mwaka.
Hao Ethiopiam wanakula hasara ila ndo siri ya kambi. Kule CAG kada kindaki ndaki. Hata hesabu si kwajili ya matumizi ya umma
 
Inuka ATC simama u mshindi, tawala anga la Afrika, una kibali
 
Kuna mida mingine ukikuta mtu anayejiita mtanzania arafu anashabikia kukwama/kufa Kwa ATCL nakosa cha kuandika nabaki kusoma comments tu, nakuomba mungu kunipa ujasiri wa kukaa kimya🙏
Sidhani kama kuna mtu anaitabiria mabaya Atcl, ila unaelezwa ukweli halisi wa biashara hiyo ilivyo , kama Saa imefilisika sisi ni nani?

If you take wrong way , don't expect to get into the right destination.
 
Mbona fast jet alipewa hizo domestic flight na ilizimudu viziru, lijama limoja likajitokeza alikajifanya lizalendo likuua shirka zima la fast jet kwa figisifigisu na wivu wakati ili boost sana internal trade kwa kulahisisha usafiri wa ndani
Fast Jet haikuzimudu hizo safari za ndani na wala haikusimamishwa kwa sababu ya wivu wa lijamaa limoja. Fastjet ilijikoseasha sifa za kuoperate kama airline kwa kutokuwa na ndege za uhakika (zenye airworthiness), na vile vile kushinbdwa kuhudumia watenja wake ipasavayo mara kwa mara. Binafsi walinikosesha connection flight yangu KLM kwa vile walifutia safari kutoka mwanza kwenda Dar ghafla tu na kukawa hamna alternative nyingine. Hawakulipa fidia za usumbufu huo na niliingia gharama kubwa zaidi kwani ilinibidi nikae Mwanza usiku mmoja tena, halafu kufika Dar nikakaa siku mbili zaidi kwa vile KLM ilikuwa iankuja mara tatu tu kwa wiki, bado nikalipia KLM no show fee ya $350 tena kwa kubembeleza sana, na mwishowe nikachelewa kazini kwangu. Fast Jet haikuwa airline ya kibishara labda safari za kubababisha ambazo hata wakifuta mtu unasubiri kesho yake. Walikuwa wanafuta safari hizo kwa vile ndege ilikuwa mbovu
 
Hukusoma zile T&C kwenye tiketi ya budget airline (Fastjet)? Nafuu, ghali?
 
Fast jet alikuwa anaoperate ndege mpya , zilikosaje airworthness? Nafikiri ndo alikuwa operator wa mwanzo kabisa ku operate airbus A321 wakati anaanza biashara Tanzania , wakati anafunga virago alikuwa anatumia embraer 190, ambayo nayp hadi leo ni hot sokoni.
Moja ya siri ya budget airline ni kupunguza gharama kwa kutumia ndege mpya , wanatumia jet engine ili wafanye safari nyingi kwa kutumia ndege chache na flight crew wachache
 
Basi hujui unachotetea. (a) Fastjet walikuwa na ndege mbili za Embraer E190. Hawakuwahi kumiliki Airbus! (b) Fastjet walikuwa wanashindwa kukidhi mahitaji ya usafiri wa anga kwa vile walikuwa wanaweza kufuta safari wakati wowote bila kujali madhara yake wa abiria wao.
 
Inaonekana wewe ndo hujui kitu
Fast jet ametumia sana airbus , A321 wakati anaanza alikuja na ndege hizi mbili ,wet lease kutoka kwa kampuni za ulaya na kwa wakati ule zilikuwa ni kama mpya tu, baadaye akaongeza ya tatu, hizo embraer190 amekuja kutumia mwishoni kabisa wa game lake
Nina ushahidi wa picha wa moja ya ndege hizo,ilikuwa tar 12 12 mwaka 2012, nimeshindwa kuuweka kwa sababu kuna sura za wasafiri, itenerary pia ipo by then nililipa shilingi 38500 kwa ticket ya dar mwanza ,45min flight time by jet .
Hiyo ya kufuta safari ni kweli lakini muwe mnasoma terms and conditions kabla ya ku embark !
Budget airline hawezi kuondoa ndege tupu kama haijafika threshold ya faida anayo taka , hata ulaya ipo hivyo.na hili lipo kwenye those fine prints (T&C)ambazo huwa hatuoni umuhimu wa kuzisoma
 
Mbona Wahabeshi wenyewe wanakimbia kwao kama shirika lao la ndege wana miela na faida kubwa
 
Mkuu kuwa serious, Fastjet walikuwa na Aibus tena mpya kama sio A320 basi ilikuwa ni A321. Si lazima uonekane unajua kila kitu na uwe tayari kujifunza
 

Mkuu kuwa serious, Fastjet walikuwa na Aibus tena mpya kama sio A320 basi ilikuwa ni A321. Si lazima uonekane unajua kila kitu na uwe tayari kujifunza
Wakati Fatsjet inafungwa haikuwa na Airbus! Kuna Airbus walizoanza nazo kwa kuzikodi nadhani kutoka Afrika ya kusini, lakini wakati inafungwa haikuwa nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…